-
Russia: Israel haina haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran
Mar 08, 2025 04:24Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov, amesema kuwa utawala wa Israel hauna haki ya kutoa maoni kuhusiana na mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.
-
Mali na Russia zajadili kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi
Mar 07, 2025 02:33Ujumbe wa ngazi ya juu wa Russia ukiongozwa na Naibu Waziri wa Ulinzi, Yunus-Bek Yevkurov umeitembelea Mali na kufanya mazungumzo na maafisa wa taifa hilo la Afrika Magharibi, kuhusu kuimarisha ushirikiano wa usalama na ulinzi wa pande mbili.
-
Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran
Mar 06, 2025 02:29Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja msimamo huo kuwa wa "kutowajibika" na "ulio kinyume cha sheria".
-
Trump arefusha muda wa vikwazo dhidi ya Russia
Feb 28, 2025 07:31Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kwa mwaka mmoja mwingine muda wa amri ya utekelezaji vikwazo dhidi ya Russia.
-
Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha ushirikiano na Russia
Feb 26, 2025 02:47Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameahidi kunyanyua kiwango cha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia kwa kuharakisha utekelezaji wa makubaliano ya pande mbili, na kuimarisha maingiliano athirifu katika masuala ya kikanda.
-
Uganda yatuma vikosi zaidi nchini DRC, yathibitisha kuwa wanajeshi wake wameingia Bunia
Feb 19, 2025 06:29Msemaji wa Jeshi la Uganda Brigedia Jenerali Felix Kulayigye amethibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) limeingia kwenye eneo la Bunia, ambalo ni makao makuu ya jimbo la Ituri, sehemu muhimu ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.
-
Katibu Mkuu wa UN: Hakuna kisingizio cha kuikosesha Afrika kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama
Feb 18, 2025 13:42Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, hakuna kisingizio cha kuifanya Afrika iendelee kuwa haina uwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Afrika Kusini kugeukia Russia, Iran kwenye mradi wake wa nyuklia?
Feb 18, 2025 07:32Afrika Kusini imesema huenda itashirikiana na Russia au Iran katika juhudi za kupanua uwezo wake wa nishati ya nyuklia.
-
Jumapili, 16 Februari, 2025
Feb 16, 2025 02:19Leo ni Jumapili 17 Shaaban 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 16 Februari 2025 Miladia.
-
Sudan yaafiki kuanzishwa nchini humo kambi ya jeshi la wanamaji la Russia
Feb 13, 2025 02:52Khartoum na Moscow zimekubaliana juu ya kuanzishwa kituo cha jeshi la wanamaji la Russia nchini Sudan.