-
Droni ya US yaanguka ikidaiwa kugongana na ndege ya kivita ya Russia, Moscow yakanusha
Mar 15, 2023 03:53Jeshi la Marekani limedai kuwa ndege ya kivita ya Russia ilinasa propela ya ndege moja ya kijasusi isiyo na rubani ya nchi hiyo na kuifanya ianguke kwenye Bahari Nyeusi jana Jumanne katika makabiliano ya kwanza ya moja kwa moja kati ya madola hayo mawili tangu Russia ilipoanzisha operesheni za kijeshi nchini Ukraine mwaka mmoja uliopita.
-
Russia: Malengo yetu Ukraine yataweza kufikiwa kwa operesheni za kijeshi tu
Mar 15, 2023 00:35Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema malengo ya nchi hiyo nchini Ukraine yanaweza kufikiwa kupitia operesheni za kijeshi tu.
-
Watoto karibu 50 kutoka familia za magaidi wa Daesh kuhamishiwa Moscow
Mar 12, 2023 23:18Watoto karibu 50 wa familia za masalia ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) wamehamishwa katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Russia: Madai ya New York kuhusu milipuko ya Nord Stream ni upotoshaji
Mar 08, 2023 03:10Russia imetangaza kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kuhusu milipuko iliyotokea kwenye mabomba ya kusafirisha gesi ya Nord Stream ni ya kubuniwa na opotoshaji wa makusudi unaofanywa na wale wanaopinga uchunguzi wa kisheria kuhusu shambulio hilo.
-
Russia: Marekani ndiyo sababu kuu ya kurefuka vita nchini Ukraine
Mar 07, 2023 22:54Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema, Marekani ndiyo sababu kuu ya kurefuka vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
-
Marais Raisi na Putin wazungumzia uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Russia
Mar 06, 2023 23:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ebrahim Raisi na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitizia umuhimu wa kuchukua hatua za kuimarisha zaidi uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili hizi.
-
Mazungumzo ya Biden na Scholz: Kuongezeka mashinikizo dhidi ya Russia na misaada ya silaha kwa Ukraine
Mar 06, 2023 06:41Kitengo cha upashaji habari cha Ikulu ya Marekani, White House siku ya Ijumaa kilitoa taarifa baada ya mazungumzo ya rais wa nchi hiyo Joe Biden na kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kikisema kuwa, nchi hizo mbili zimejipanga kuendelea na siasa za vvikwazo dhidi ya Russia hadi muda wowote zitakaohisi unafaa.
-
Russia yakosoa mienendo mibaya ya Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran
Mar 05, 2023 23:00Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao makuu mjini Vienna amekosoa mienendo mibaya ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran.
-
Msemaji wa Kremlin: Moscow haitayarejesha maeneo yaliyounganishwa na Russia
Feb 28, 2023 22:52Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema, Moscow haitabadilisha msimamo wake kuhusu mikoa minne ya Ukraine iliyojiunga na nchi hiyo mwaka 2022 baada ya kuitisha kura ya maoni.
-
Mali: Russia ni mshirika wa kutegemewa wa nchi za Afrika
Feb 28, 2023 22:50Kaimu Waziri Mkuu wa Mali amesema Russia inaliheshimu na imelisaidia pakubwa taifa hilo la Afrika Magharibi katika vita dhidi ya ugaidi, na imethibitisha kivitendo kuwa haina masharti wala malengo fiche kwenye usaidizi wake.