-
Burundi yaituhumu tena Rwanda kuwa inaharibu usalama wake
May 20, 2016 02:36Kwa mara nyingine tena serikali ya Burundi imeituhumu Rwanda kuwa inafanya njama za kuharibu utulivu nchini humo.
-
Mkutano wa kiusalama wafanyika katika msikiti mmoja nchini Rwanda
May 17, 2016 09:17Wakuu wa vyombo vya usalama na viongozi wa Kiislamu wa Rwanda wamefanya mkutano katika msikiti mmoja nchini humo kujadili mustakabali wa kiusalama.
-
Wanajeshi wa DRC wanawaua raia mashariki mwa nchi hiyo
May 16, 2016 23:48Wataalamu wa Umoja wa Mataifa katika kamati ya vikwazo vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa ripoti na kusema maafisa wa kijeshi nchini humo wanahusika na mauaji ya raia.
-
Rais Paul Kagame akanusha nchi yake kuwasaidia waasi wa Burundi
May 14, 2016 02:14Rais Paul Kagame wa Rwanda amekanusha nchi yake kuwasaidia waasi wa Burundi kama ilivyokuja katika ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mameya wa Rwanda kizimbani Ufaransa kwa tuhuma za mauaji ya kimbari ya 1994
May 10, 2016 10:33Mameya wawili wa zamani wa Rwanda Jumanne hii wamefikishwa kizimbani Ufaransa wakikabiliwa na mashtaka ya kutenda jinai dhidi ya binadamu na mauaji ya kimbari mwaka 1994 katika nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika.
-
Maporomoko ya ardhi yasababisha vifo vya watu 20 Rwanda
May 08, 2016 23:10Kwa akali watu 20 wameaga dunia na wengine kadhaa kuachwa bila makazi kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini Rwanda.
-
Rwanda: Kongamano la uchumi Kigali kuangazia teknolojia na mfumo wa dijitali
May 07, 2016 03:15Rwanda inatazamiwa kuwa mwenyeji wa duru ya 26 ya Kongamano la Uchumi Duniani WEF mapema wiki ijayo. Marais, wajasiriamali na wawekezaji zaidi ya 1,200 wa bara hilo wanatazamiwa kushiriki kongamano hilo litakalofanyika Kigali kati ya Mei 11 na 13.
-
Rwanda kuwa mwenyeji wa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika
May 05, 2016 03:55Rwanda iko tayaria kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika AU baadaye mwaka huu.
-
Jeshi la Rwanda lakanusha madai ya wanajeshi wake kuingia katika ardhi ya DRC kuwasaka waasi
Apr 23, 2016 11:39Jeshi la Rwanda limekanusha madai kwamba, wanajeshi wake wameingia katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuwasaka waasi wa Kihutu walioko katika nchi hiyo.
-
Jeshi la Rwanda laingia Congo kusaka waasi wa Kihutu
Apr 21, 2016 03:43Afisa mmoja wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa wanajeshi wa Rwanda wameingia katika ardhi ya nchi hiyo.