Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Jeshi la Rwanda lakanusha madai ya wanajeshi wake kuingia katika ardhi ya DRC kuwasaka waasi

    Jeshi la Rwanda lakanusha madai ya wanajeshi wake kuingia katika ardhi ya DRC kuwasaka waasi

    Apr 23, 2016 11:39

    Jeshi la Rwanda limekanusha madai kwamba, wanajeshi wake wameingia katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuwasaka waasi wa Kihutu walioko katika nchi hiyo.

  • Jeshi la Rwanda laingia Congo kusaka waasi wa Kihutu

    Jeshi la Rwanda laingia Congo kusaka waasi wa Kihutu

    Apr 21, 2016 03:43

    Afisa mmoja wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa wanajeshi wa Rwanda wameingia katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Kesi 40 zaripotiwa za waenezaji itikadi za mauaji ya kimbari Rwanda

    Kesi 40 zaripotiwa za waenezaji itikadi za mauaji ya kimbari Rwanda

    Apr 15, 2016 03:42

    Polisi wa Rwanda wameripoti kuwepo kesi 40 za hivi karibuni za wanaohusika na kueneza itikadi ya mauaji ya halaiki wakati wa wiki ya kuadhimisha mauaji ya halaiki iliyomalizika Jumatano iliyopita.

  • Israel yaktaa kufichua nafasi yake katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Israel yaktaa kufichua nafasi yake katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Apr 13, 2016 02:55

    Mahakama ya Juu ya utawala wa kizayuni wa Israel imepitisha kuwa, nyaraka za mauzo ya silaha ya utawala huo haramu kwa serikali ya Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari katika nchi hiyo ya Kiafrika mwaka 1994, hazitawekwa wazi kwa wananchi na zitaendelea kufichwa na kubakia siri kuu ya utawala huo.

  • Ban atahadharisha dhidi ya uchochezi na ubaguzi, kuepuka mauaji ya kimbari

    Ban atahadharisha dhidi ya uchochezi na ubaguzi, kuepuka mauaji ya kimbari

    Apr 08, 2016 04:35

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ili kuzuia kutokea mauaji ya kimbari, lazima jamii zote duniani zijiepushe na uchochezi na matamshi ya chuki yanayoweza kuibua mfarakano na uhasama.

  • Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Apr 08, 2016 03:30

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema siku ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda hapo mwaka 1994 ni siku ya kutoa heshima kwa wahanga wa mauaji hayo na kuzidisha upendo kwa ajili ya kuimarisha uadilifu kote duniani.

  • Taubira: Uhakika kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda uwekwe wazi

    Taubira: Uhakika kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda uwekwe wazi

    Apr 07, 2016 03:03

    Waziri wa zamani wa sheria wa Ufaransa ametoa wito wa kuwekwa wazi uhakika na ukweli kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi yaliyotokea Rwanda mwaka 1994.

  • Kamanda mwandamizi wa FDLR akamatwa na polisi ya Uganda

    Kamanda mwandamizi wa FDLR akamatwa na polisi ya Uganda

    Apr 05, 2016 02:44

    Kamanda mwandamizi wa kundi la waasi wa Rwanda la FDLR amekamatwa katika mji mkuu wa Uganda, Kampala.

  • Rwanda yaitaka Burundi ifafanue kuhusu kifo cha mwanadiplomasia wake wa zamani

    Rwanda yaitaka Burundi ifafanue kuhusu kifo cha mwanadiplomasia wake wa zamani

    Apr 01, 2016 02:52

    Rwanda imeitaka serikali ya Burundi kueleza chanzo cha kifo cha balozi wa zamani wa nchi hiyo nchini Ubelgiji na Ufaransa Jacques Bihozagara.

  • Waziri wa zamani wa Rwanda afia jela Burundi

    Waziri wa zamani wa Rwanda afia jela Burundi

    Mar 30, 2016 22:59

    Waziri wa zamani w Rwanda, Jacques Bihozagara ameaga dunia akiwa katika jela ya Burundi yapata miezi minne baada ya kutiwa nguvuni kwa tuhuma za kufanya ujasusi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS