• 18 Wajeruhiwa katika msongamano mkubwa Makka

    18 Wajeruhiwa katika msongamano mkubwa Makka

    Jul 02, 2016 08:59

    Waislamu 18 waliokuwa katika Ibada ya Umrah wamejeruhiwa kufuatia msongamano mkubwa katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, miezi sita tu baad aya maelfu kupoteza maisha katika Ibada ya Hija mwaka jana.

  • Amnesty, HRW zataka Saudia itimuliwe Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Amnesty, HRW zataka Saudia itimuliwe Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Jun 30, 2016 02:40

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yametoa wito wa kutimuliwa Saudi Arabia katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa sanjari na kuutaka muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Riyadh kusimamisha mauaji na mashambulizi dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Yemen.

  • Hizbullah: Saudia inazuia kufanyika uchaguzi wa rais Lebanon

    Hizbullah: Saudia inazuia kufanyika uchaguzi wa rais Lebanon

    Jun 28, 2016 03:07

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kukwamisha mikakati ya kisiasa sambamba na kuzuia juhudi za kufanyika uchaguzi wa rais nchini Lebanon.

  • Jumanne, Juni 28, 2016

    Jumanne, Juni 28, 2016

    Jun 27, 2016 23:54

    Leo ni Jumanne tarehe 22 Ramadhani mwaka 1437 Hijria sawa na Juni 28 mwaka 2016.

  • Silaha za CIA na Saudia zaibwa Syria na kutumiwa kuulia Wamarekani

    Silaha za CIA na Saudia zaibwa Syria na kutumiwa kuulia Wamarekani

    Jun 27, 2016 23:36

    Ripoti mpya iliyotolewa na gazeti la New York Times la nchini Marekani inaonesha kuwa, silaha ambazo zilitumwa na Shirika la Kijasusi la Marekani CIA na Saudia kwa magaidi, zimeibwa na kuuzwa kimagendo nchini Jordan.

  • Hizbullah: Magaidi wanaoungwa mkono na Saudia na US, hatari M/Kati

    Hizbullah: Magaidi wanaoungwa mkono na Saudia na US, hatari M/Kati

    Jun 24, 2016 22:41

    Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono kwa hali na mali na Saudia na Marekani yanatishia usalama wa eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • Iran: Magaidi tuliowakamata wakiri kutumwa na Saudia na US

    Iran: Magaidi tuliowakamata wakiri kutumwa na Saudia na US

    Jun 24, 2016 22:20

    Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema wanachama wa magenge ya kigaidi waliokamatwa hivi karibuni hapa nchini wakipanga njama za kutekeleza mashambulizi ya bomu wamekiri kwamba walipokea ufadhili kutoka Saudi Arabia na Marekani.

  • Mahakama Misri yabatilisha kukabidhiwa Saudia visiwa viwili muhimu

    Mahakama Misri yabatilisha kukabidhiwa Saudia visiwa viwili muhimu

    Jun 21, 2016 10:25

    Mahakama moja nchini Misri imetengua hatua ya serikali ya Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya kistratejia vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Saudia yaua Waislamu 15 Yemen katika mwezi wa Ramadhani

    Saudia yaua Waislamu 15 Yemen katika mwezi wa Ramadhani

    Jun 21, 2016 09:40

    Watu wasiopungua 15 wameuawa leo katika mashambulizi ya ndege za kivita za Saudi Arabia katika mkoa wa Lahaj huko kusini mwa Yemen.

  • Siasa za uhasama za Saudia dhidi ya Iran

    Siasa za uhasama za Saudia dhidi ya Iran

    Jun 20, 2016 08:14

    Mwenendo usio wa mantiki unaoonyeshwa na utawala wa Aal Saudi katika matukio ya Mashariki ya Kati na kushupalia kwake siasa za kufurutu mpaka na za kuvuruga hali ya mambo kwa ajili ya kuimarisha nafasi ya utawala huo vimefanyiwa uchambuzi na ukosoaji na duru nyingi za habari na za kisiasa.