Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Kan'ani: Azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia lina nguvu na thabiti

    Kan'ani: Azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia lina nguvu na thabiti

    Nov 12, 2023 10:01

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema, mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamejumuishwa katika azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia, na ibara na maneno ya azimio hilo ni yenye nguvu na imara.

  • Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano

    Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano

    Oct 10, 2023 03:34

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, karibuni hivi Iran na Sudan zitafungua tena balozi zao baada ya nchi hizo mbili kukamilisha mchakato wa kurejesha uhusiano wa kidipolmasia.

  • Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO

    Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO

    Jul 01, 2023 03:24

    Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.

  • Mahujaji zaidi ya milioni moja wawasili Saudia kwa ajili ya Hija

    Mahujaji zaidi ya milioni moja wawasili Saudia kwa ajili ya Hija

    Jun 18, 2023 04:18

    Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.

  • "Maadui wa Waislamu hasa Israel, wamehamakishwa na ushirikiano wa Iran, Saudia"

    Jun 18, 2023 01:10

    Rais wa Iran amesema kuimarika uhusiano na ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumewahamakisha maadui wa Uislamu na Waislamu hususan utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wakubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wakubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi

    Jun 18, 2023 01:06

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wamekubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi kati ya nchi mbili.

  • Ansarullah ya Yemen yaionya Saudia isizike taka zake za nyuklia nchini Yemen

    Ansarullah ya Yemen yaionya Saudia isizike taka zake za nyuklia nchini Yemen

    Jun 10, 2023 03:19

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeionya Saudi Arabia isithubutu kuzika taka zake za atomiki katika maeneo ya jangwani na baharini ya Yemen.

  • Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh

    Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh

    Jun 08, 2023 21:54

    Balozi mpya wa Iran nchini Saudi Arabia amesema Israel imekerwa na kuhamakishwa na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Riyadh, na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeazimia kuuvuruga uhusiano huo.

  • Balozi za Iran na Saudia zinafunguliwa rasmi leo na kesho, Tehran na Riyadh

    Balozi za Iran na Saudia zinafunguliwa rasmi leo na kesho, Tehran na Riyadh

    Jun 05, 2023 22:05

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, balozi za Saudi Arabia na Iran zinafunguliwa rasmi leo Jumanne na kesho Jumatano katika miji mikuu ya nchi hizi mbili ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya pande mbili ya kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia.

  • US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 04, 2023 23:05

    Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS