-
Watu 12 wauawa katika hujuma za kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Apr 24, 2016 00:02Kwa akali watu 12 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mawili ya bomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la bomu Kabul, Afghanistan
Apr 19, 2016 03:26Makumi ya watu wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mripuko wa bomu ulioutikisa mji wa Kabul karibu na ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan mapema leo.
-
Ghana yazidisha ulinzi, magaidi watishia kuishambulia
Apr 16, 2016 23:55Rais John Dramani Mahama wa Ghana ameamuru kuchukuliwa hatua kali za kiusalama baada ya kuongezeka wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika nchi za magharibi mwa Afrika.
-
Larijani: Ukosefu wa usalama katika Ulimwengu wa Kiislamu ni kwa maslahi ya Israel
Mar 29, 2016 23:39Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema ukosefu wa usalama na wimbi la mashambulio ya kigaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu vinafanywa na wale wanaotumikia maslahi ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Wanachama 400 wa Daesh wameingia Ulaya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi
Mar 24, 2016 03:57Kundi la kigaidi la Daesh limetuma wanachama 400 katika nchi za Ulaya kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Wanachama 400 wa Daesh wameingia Ulaya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi
Mar 24, 2016 03:35Kundi la kigaidi la Daesh limetuma wanachama 400 katika nchi za Ulaya kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mar 23, 2016 03:37Mashambulizi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels yameendelea kuakisiwa na kulaaniwa sana katika vyombo vya habari na duru za kimataifa.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mar 23, 2016 02:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Zarif alaani mashambulizi ya kigaidi ya Ubelgiji
Mar 22, 2016 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzo kwa simu na mwenzake wa Ubelgiji akilaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Brussels.
-
Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa
Mar 18, 2016 11:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.