Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sheikh Ibrahim Zakzaky

  • Daktari wa Zakzaky: Kubakia kwake hai ni muujiza mkubwa

    Daktari wa Zakzaky: Kubakia kwake hai ni muujiza mkubwa

    Dec 09, 2019 01:53

    Daktari wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky amesema kuwa msomi huyo ameathiriwa na sumu na anapaswa kupewa matibabu haraka iwezekanavyo.

  • Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky

    Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky

    Dec 08, 2019 08:37

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ina wingi wa matumaini kuwa mazungumzo kati ya Tehran na Abuja yatakuwa chachu ya kuanza safari ya kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Mkuu wa Harakati ya Kiislamu Nigeria kupelekwa jela kuu ya Kaduna

    Mkuu wa Harakati ya Kiislamu Nigeria kupelekwa jela kuu ya Kaduna

    Dec 06, 2019 04:02

    Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna nchini Nigeria imekubali ombi la gavana wa jimbo hilo la kupelekwa Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe katika jela kuu ya jimbo hilo.

  • Sisitizo la Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kuhusu kukabiliana na vitisho vya serikali

    Sisitizo la Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kuhusu kukabiliana na vitisho vya serikali

    Nov 26, 2019 00:44

    Waislamu wa Nigeria, hasa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo, wako chini ya mashinikizo makali kutoka kwa vikosi vya kijeshi katika hali ambayo katiba ya nchi hiyo imebainisha wazi kuhusu uhuru wa kuabudu kwa raia wake.

  • Waislamu Nigeria wakanusha madai ya polisi kumhusu Zakzaky

    Waislamu Nigeria wakanusha madai ya polisi kumhusu Zakzaky

    Nov 18, 2019 08:18

    Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamekanusha vikali madai ya Idara ya Kiitelejensia ya Nigeria kuwa polisi ya nchi hiyo inamzuilia mwanaharakati huyo wa Kiislamu kutokana na ombi na uamuzi wake mwenyewe.

  • Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram

    Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram

    Sep 01, 2019 03:22

    Sambamba na kuwadia mwezi wa Muharram, jeshi la polisi nchini Nigeria limetoa amri ya kushadidishwa ukandamizaji dhidi ya wafuasi na waungaji mkono wa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Njama mpya za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Zakzaky

    Njama mpya za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Zakzaky

    Aug 29, 2019 07:48

    Serikali ya Nigeria imeanzisha njama mpya dhidi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky na kudai kwamba eti anapanga njama za mapinduzi.

  • Duru za habari: Sheikh Zakzaky huenda akazuiwa kutoka nje ya nchi

    Duru za habari: Sheikh Zakzaky huenda akazuiwa kutoka nje ya nchi

    Aug 18, 2019 03:02

    Duru za ndani ya Nigeria zimeripoti kuwa, serikali ya nchi hiyo huenda ikamzuia kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky kwenda nje ya nchi hiyo.

  • IMN: Sheikh Ibrahim Zakzaky amepelekwa mahala kusikojulikana

    IMN: Sheikh Ibrahim Zakzaky amepelekwa mahala kusikojulikana

    Aug 17, 2019 21:52

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky amepelekwa mahala kusikojulikana mara baada ya kuwasili Abuja akitokea nchini India.

  • IMN: Serikali ya Nigeria inataka kumuua Sheikh Ibrahim Zakzaky

    IMN: Serikali ya Nigeria inataka kumuua Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Aug 17, 2019 09:22

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeashiria ukwamishaji matibabu uliofanywa na viongozi wa serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky alipokuwa nchini India na kueleza kwamba, hatua hizo zimeibua dhana kwamba, serikali ya Abuja inafanya njama za kumuua mwanaharakati huyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS