-
Umoja wa Afrika walaani shambulizi la kikatili la Israel dhidi ya hospitali Gaza
Oct 18, 2023 12:25Umoja wa Afrika umelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza hapo jana na kuua mamia ya watu.
-
AU kundoa askari wengine 3,000 kutoka Somalia
Aug 30, 2023 08:05Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimesema kitawaondoa wanajeshi wengine 3,000 katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Umoja wa Afrika (AU) waisimamishia uanachama Niger
Aug 23, 2023 02:39Umoja wa Afrika (AU) umesimamisha uanachama wa Niger katika taasisi hiyo kubwa zaidi ya kibara; huo ukiwa ni muendelezo wa vikwazo na mashinikizo dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita.
-
AU yaonya: Afrika isigeuzwa uwanja wa kutunishiana misuli madola makubwa
May 26, 2023 09:54Viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) wameyaonya madola makubwa duniani hasa ya Magharibi dhidi ya kuligeuza bara la Afrika kuwa medani ya malumbano na kutununishiana misuli, wakati huu ambapo baadhi ya nchi za bara hilo zinakabiliwa na changamoto za kiusalama.
-
Alkhamisi tarehe 25 Mei 2023
May 25, 2023 01:25Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Dhilqaada 1444 Hijria sawa na tarehe 25 Mei mwaka 2023.
-
AU: Tunaridhishwa na mafanikio ya SNA katika vita dhidi ya al-Shabaab
Jan 19, 2023 10:19Umoja wa Afrika umesema kwamba umetiwa matumaini na stratejia inayotumia na Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) katika operesheni zake za kulisambaratisha kundi la kigaidi la al-Shabaab, haswa kwa kutilia maanani mafanikio makubwa liliyoyapata katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
Comoro yatazamiwa kuchukua uenyekiti wa Umoja wa Afrika
Dec 23, 2022 03:12Rais Azali Assoumani wa Comoro anatazamiwa kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika mwaka ujao 2022, baada ya Rais William Ruto wa Kenya kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo.
-
Ethiopia yakubali mwito wa AU wa kufanya mazungumzo na TPLF
Oct 06, 2022 03:10Serikali ya Ethiopia kwa mara nyingine tena imesema imeafiki mwito wa Umoja wa Afrika (AU) wa kufanya mazungumzo ya amani na waasi wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF).
-
AU yalaani mapinduzi ya kijeshi Burkina Faso, Ufaransa yatuhumiwa kuhusika
Oct 02, 2022 08:02Umoja wa Afrika (AU) umelaani hatua ya 'wanajeshi waasi' kutwaa mamlaka ya nchi kinyume cha katiba huko Burkina Faso, katika hali ambayo nchi hiyo ilikuwa katika mkondo wa kurejesha utawala wa kiraia.
-
Hofu ya AU, IGAD kuhusu mapigano mapya Tigray, Ethiopia
Aug 25, 2022 12:03Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema ametiwa wasiwasi na ripoti za kuibuka makabiliano mapya ya kijeshi nchini Ethiopia.