-
Russia yajibu madai ya Biden ya matumizi ya silaha za kibaolojia nchini Ukraine
Mar 22, 2022 12:54Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Ryabkov amesema Jumanne leo kwamba matamshi yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Joe Biden kuhusu uwezekano wa Russia kutumia silaha za kemikali na za kibaolojia huko Ukraine ni ya kihabithi.
-
Baraza la Usalama la UN leo linajadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine
Mar 11, 2022 11:49Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura leo kwa ombi la Russia kujadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine. Ni baada ya Moscow kuzishutumu Kyiv na Washington kwamba zimekuwa zikitengeneza silaha za kibaolojia za kueneza magonjwa hatari kwa kutumia wanyama, jambo ambalo Marekani na Ukraine zimelikanusha.
-
Jumapili, Januari 30, 2022
Jan 30, 2022 02:36Leo ni Jumapili tarehe 27 Mfunguo Tisa Jamadithani 1443 Hijria sawa na tarehe 30 Januari 2022 Miladia.
-
Ershadi: Iran ni mhanga mkubwa wa silaha za kemikali duniani
Sep 03, 2021 06:35Naibu mwakilishi wa kudumu wa Iran katika umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama mhanga mkubwa wa silaha za kemikali inatoa wito wa kutekelezwa kikamilifu, kwa njia athirifu na bila ya ubaguzi mkataba wa kuzuia silaha za kemikali.
-
Alkhamisi tarehe 26 Agosti 2021
Aug 26, 2021 03:44Leo ni Alhamisi tarehe 17 Muharram 1443 Hijria inayosaifiana na tarehe 26 Agosti 2021.
-
Tuhuma za matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya Syria; mbinu yenye lengo la kudhoofisha mamlaka ya kujitawala Damascus
Apr 18, 2021 02:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imepinga ripoti iliyopewa jina la " Timu ya Uchunguzi na Utambuzi" iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) kuhusu tukio la Saraqib na kuitaja ripoti hiyo kuwa ni ya upotoshaji na ya uongo.
-
Zarif alaani nchi za Magharibi zilizompa Saddam silaha za sumu
Mar 16, 2021 07:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezilaani nchi za Magharibi ambazo zilimpa dikteta wa zamani wa Iraq Saddam Hussein silaha za sumu. Amesema nchi hizo hazijali kukumbuka mauaji ya umati ya watu wa Iraq ambao waliuawa kwa silaha hizo za maangamizi ya umati.
-
Jumanne, tarehe 25 Agosti, mwaka 2020
Aug 25, 2020 03:20Leo ni Jumanne tarehe 5 Muharram 1442 Hijria sawa na Agosti 25 mwaka 2020.
-
Jumatatu 26 Agosti mwaka 2019
Aug 26, 2019 01:38Leo ni Jumatatu tarehe 24 Dhulhija 1440 Hijria sawa na Agosti 26 mwaka 2019
-
Jumatano, tarehe 17 Aprili, 2019
Apr 17, 2019 11:10Leo ni Jumatano tarehe 11 Sha'aban 1440, Hijiria, sawa na tarehe 17 Aprili 2019 Miladia.