-
Jumatatu, Oktoba 21, 2024
Oct 21, 2024 02:21Leo ni Jumatatu tarehe 17 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na 21 Okktoba 2024 Milaadia.
-
AU yakabidhi kambi 6 za kijeshi kwa vikosi vya Somalia
Oct 18, 2024 02:51Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimekabidhi rasmi kambi ya kijeshi ya Kuday kwa vikosi vya usalama vya Somalia, kuashiria hatua muhimu katika awamu ya tatu ya uondoaji wa wanajeshi hao wa kigeni.
-
Somalia inatiwa wasiwasi na madai kwamba Ethiopia imetuma Puntland shehena ya silaha
Oct 07, 2024 03:50Somalia jana ilieleza kuwa inatiwa wasiwasi na hatua ya jirani yake Ethiopia ya kusafirisha silaha kinyume cha sheria katika eneo la Puntland.
-
Jeshi la Somalia lakikomboa kijiji cha kimkakati kutoka kwa magaidi wa al-Shabaab
Oct 04, 2024 02:22Wizara ya Ulinzi ya Somalia jana ilitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limeendesha oparesheni maalumu dhidi ya kundi la kigaidi la al Shabaab na kukikomboa kijiji cha kimkakati cha Ali Yabal umbali wa kilomita 18 kutoka Eeldheer katika mkoa wa Galgaduud.
-
Somalia yakumbwa na mlipuko karibu na ikulu ya Rais, watu kadhaa wauawa
Sep 29, 2024 02:17Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa au kujeruhiwa baada ya mlipuko mkubwa kutokea leo katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Jeshi la Somalia limemtia mbaroni kiongozi mkuu wa al Shabaab
Sep 19, 2024 06:56Somalia jana ilitangaza kuwa imemtia nguvuni mwanachama wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la al Shabaab katika mkoa wa kati wa Galgadud.
-
Somalia yajiunga na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
Sep 17, 2024 07:31Somalia imejiunga na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) katika Mkutano Mkuu wa wakala huo ulioanza jana Jumatatu mjini Vienna.
-
Magaidi 19 wa al-Shabaab wauawa katika mashambulizi ya anga Somalia
Sep 05, 2024 02:56Wanachama wasiopungua 19 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Somalia katika maeneo ya Shabelle ya Kati na Galgadud.
-
Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika
Aug 09, 2024 07:19Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina kikomo wala mipaka katika kuimarisha na kupanua uhusiano wake na nchi za bara Afrika.
-
Magaidi 80 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jul 22, 2024 11:27Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa nchini Somalia katika operesheni tatu za jeshi la Somalia dhidi ya genge hilo.