Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Mogadishu yatahadharisha kuhusu kuingiliwa masuala ya ndani ya Somalia

    Mogadishu yatahadharisha kuhusu kuingiliwa masuala ya ndani ya Somalia

    Jul 07, 2019 03:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia ametahadharisha kuhusu uingiliaji wa baadhi ya nchi katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na kukitaja kitendo hicho kuwa ni kukiuka mamlaka ya kujitawala nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Somalia yakata uhusiano na Guinea, yaituhumu Conakry kuingilia masuala yake ya ndani

    Somalia yakata uhusiano na Guinea, yaituhumu Conakry kuingilia masuala yake ya ndani

    Jul 05, 2019 10:44

    Serikali ya Somalia imekata uhusiano wake wote wa kidiplomasia na Guinea Conakry na kuituhumu nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.

  • Al-Shabaab yawachinja 'majasusi' 5, akiwemo ajenti wa CIA

    Al-Shabaab yawachinja 'majasusi' 5, akiwemo ajenti wa CIA

    Jul 04, 2019 09:07

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limewaua kwa kuwakata vichwa watu watano wanaoshukiwa kuwa majasusi, kusini mwa Somalia.

  • Jumatatu tarehe Mosi Julai 2019

    Jumatatu tarehe Mosi Julai 2019

    Jun 30, 2019 21:02

    Leo ni Jumatatu tarehe 27 Shawwal 1440 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2019.

  • Mjumbe mpya wa UN Somalia apongeza vikosi vya AMISOM

    Mjumbe mpya wa UN Somalia apongeza vikosi vya AMISOM

    Jun 26, 2019 21:53

    Mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia James Swan amepongeza mchango uliotolewa na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kutokana na juhudi zinazoendelea kuituliza Somalia.

  • Al-Shabaab: Tumehusika na mashambulizi ya Kenya na Somalia yaliyoua 16

    Al-Shabaab: Tumehusika na mashambulizi ya Kenya na Somalia yaliyoua 16

    Jun 15, 2019 22:52

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limetangaza kuwa limehusika na miripuko ya mabomu iliyoua watu 16 hapo jana Jumamosi katika nchi za Kenya na Somalia.

  • Magaidi wa al-Shabaab wateka mji muhimu katika eneo la Puntland, Somalia

    Magaidi wa al-Shabaab wateka mji muhimu katika eneo la Puntland, Somalia

    Jun 10, 2019 03:40

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab la Somalia limeteka mji mdogo lakini wa kistratajia ulioko kaskazini mashariki mwa eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland.

  • Askari wa AMISOM Somalia wagawa chakula siku kuu ya Idul Fitr

    Askari wa AMISOM Somalia wagawa chakula siku kuu ya Idul Fitr

    Jun 05, 2019 22:05

    Kikosi cha kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimesema askari wake wameimarisha shughuli za kibinadamu zinazolenga kuboresha maisha ya Wasomali.

  • Mvua na mafuriko yaua watu 9 Puntland, Somalia

    Mvua na mafuriko yaua watu 9 Puntland, Somalia

    Jun 03, 2019 06:02

    Kwa akali watu tisa wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.

  • Magaidi wa Al Shabab wahujumu kituo cha jeshi la Somalia

    Magaidi wa Al Shabab wahujumu kituo cha jeshi la Somalia

    May 27, 2019 22:42

    Kundi la kigaidi la Al Shabab limeshambulia kituo cha jeshi la Somalia katika eneo la kusini mwa nchi hiyo ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS