-
Djibouti yakasirishwa na ombi la Somalia la kutaka Eritrea iondolewe vikwazo vya silaha
Aug 03, 2018 11:03Ubalozi wa Djibouti mjini Mogadishu, Somalia umetangaza kushutushwa na wito wa Rais Mohammad Abdullahi Farmajo wa kutaka Eritrea iondolewe vikwazo vya silaha.
-
Umoja wa Mataifa waongeza muda wa kuhudumu AMISOM nchini Somalia
Jul 31, 2018 23:56Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudu wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika, AMISOM, nchini Somalia.
-
Eritrea na Somalia zasaini makubaliano ya kuhuisha uhusiano kati ya pande mbili
Jul 30, 2018 23:44Serikali ya Eritrea imetangaza kuwa imesaini makubaliano na Somalia kwa lengo la kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia na kubadilishana mabalozi kati ya nchi mbili hizo.
-
Magaidi 87 wa al Shabab wauawa kusini mwa Somalia
Jul 24, 2018 11:41Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imewaangamiza magaidi 87 wa kundi la al Shabab katika mapigano yaliyotokea jana kusini mwa nchi hiyo.
-
Kundi la al Shabab lashambulia kambi ya jeshi na kuuwa wanajeshi 27 Somalia
Jul 23, 2018 03:38Kundi la wanamgambo wa al Shabab lenye makao yake nchini Somalia limetangaza hii leo kuwa limeshambulia kambi moja ya jeshi kwa kulipua bomu lililotegwa garini huko kusini mwa nchi hiyo na kuuwa wanajeshi 27.
-
Al-Shabaab yateka mji muhimu katika eneo la Puntland, Somalia
Jul 20, 2018 09:48Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab la Somalia limeteka mji mdogo lakini wa kistratajia ulioko karibu na eneo la milima ya Galgala, kusini mwa jiji la Bosaso katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland.
-
Mripuko wa bomu watokea karibu na ikulu ya rais wa Somalia
Jul 07, 2018 09:55Polisi ya Somalia imetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu karibu na ikulu ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa nchi hiyo mjini Mogadishu.
-
EU yaishambulia Imarati kwa kuvuruga uthabiti Somalia
Jul 06, 2018 08:57Bunge la Umoja wa Ulaya limezikosoa vikali Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia kwa kuikatia Somalia misaada kutokana na nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kutangaza msimamo wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro kati ya nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na Saudia kwa upande mmoja na Qatar kwa upande wa pili.
-
Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki
Jul 01, 2018 22:07Makumi ya wanafunzi wa Kiafrika hususan raia wa Somalia wamekamatwa nchini Uturuki, wakihusishwa na Shirika la Kigaidi la Fathullah FETO, linalodaiwa kuratibu na kutekeleza jaribio la mapinduzi lililofeli la mwaka 2016.
-
Jumapili, Julai Mosi, 2018
Jun 30, 2018 21:17Leo ni Jumapili tarehe 17 Shawwal 1439 Hijiria, inayosadifiana na Julai Mosi mwaka 2018 Miladia.