Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Wanachama saba wa ash-Shabab watiwa kitanzi nchini Somalia

    Wanachama saba wa ash-Shabab watiwa kitanzi nchini Somalia

    Jul 01, 2017 08:46

    Viongozi wa kijeshi katika eneo la Puntland, kaskazini mwa Somalia, wamewanyonga wanachama saba wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab.

  • Jeshi la Somalia na kikosi cha AU chakomboa mji wa Janale

    Jeshi la Somalia na kikosi cha AU chakomboa mji wa Janale

    Jul 01, 2017 02:07

    Wanajeshi wa serikali ya Somalia na wale wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika wameukomboa mji Janale ulioko kusini mwa nchi hiyo ambao ulikuwa ukishikiliwa na wanamgambo wa kundi la al Shabab.

  • Jumamosi, Julai Mosi, 2017

    Jumamosi, Julai Mosi, 2017

    Jun 30, 2017 21:46

    Leo Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Mosi Shawwal 1438 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai mwaka 2017 Miladia.

  • Wanamgambo sita wa al-Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Wanamgambo sita wa al-Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Jun 30, 2017 09:41

    Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua wapiganaji sita wa kundi la kigaid na kitakfiri la al-Shabab na kujeruhiwa makumi ya wengine.

  • Save the Children: Maelfu ya watoto Somalia watakufa kwa njaa

    Save the Children: Maelfu ya watoto Somalia watakufa kwa njaa

    Jun 30, 2017 03:26

    Taasisi moja ya kimataifa ya masuala ya kibinadamu imetahadharisha kuhusu hatari ya kuaga dunia watoto wa Kisomali elfu 20 kutokana na ukame na njaa iliyoiathiri Somalia.

  • Mripuko wa kutisha watokea melini katika pwani ya Puntland, Somalia

    Mripuko wa kutisha watokea melini katika pwani ya Puntland, Somalia

    Jun 27, 2017 11:13

    Duru za habari nchini Somalia zimeripoti habari ya kutokea mripuko mkubwa ndani ya meli katika pwani ya Puntland, kaskazini mashariki mwa Somalia.

  • Watu 15 wauawa katika hujuma ya al-Shabab mjini Mogadishu, Somalia

    Watu 15 wauawa katika hujuma ya al-Shabab mjini Mogadishu, Somalia

    Jun 20, 2017 09:09

    Watu wasiopungua 15 wameuawa katika hujuma ya kigaidi huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia huku kundi la kigaidi la al-Shabab likitangaza kuhusika na shambulizi hilo.

  • Askari wa Somalia aliyemuua waziri ahukumiwa kifo

    Askari wa Somalia aliyemuua waziri ahukumiwa kifo

    Jun 19, 2017 11:00

    Askari wa serikali ya Somalia amehukumiwa kifo kwa kumuua waziri wa serikali ya Mogadishu baada ya kudhania kuwa ni mmoja kati ya wanachama wa kundi ya kigaidi la al Shabab.

  •  AU yaahidi kurejesha utulivu Somalia licha ya kuongezeka kwa mashambulio ya al-Shabab

    AU yaahidi kurejesha utulivu Somalia licha ya kuongezeka kwa mashambulio ya al-Shabab

    Jun 16, 2017 03:04

    Umoja wa Afrika umetangaza kuwa, umeazimia kurejesha amani na utulivu nchini Somalia licha ya kuongezeka mashambulio ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabab katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • UN yalaani mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia

    UN yalaani mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia

    Jun 15, 2017 12:42

    Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia amelaani mashambulizi yaliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS