-
Polisi Sudan watumia mabomu na bakora kuzima maandamano
Jan 16, 2018 11:08Maafisa usalama nchini Sudan wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji, wanaolalamikia ughali wa maisha na hali ngumu ya kiuchumi.
-
Sudan yasema inakabiliana na tishio katika mipaka yake na Misri, Eritrea
Jan 15, 2018 04:04Serikali ya Sudan imesema inakabiliana na tishio la usalama katika mipaka yake na nchi jirani za Misri na Eritrea.
-
Malalamiko yaongezeka dhidi ya serikali nchini Sudan
Jan 14, 2018 23:47Malalamiko ya wananchi ya kulalamikia ughali wa maisha na hali ngumu ya kiuchumi yameongezeka nchini Sudan huku kukiwa na tetesi kwamba huenda serikali ya nchi hiyo ikavunjwa.
-
Wasudan waandamana kulalamikia kupanda kwa bei ya mkate
Jan 09, 2018 12:20Maandandamano ya raia wa Sudan ya kupinga ongezeko la bei ya mkate na machafuko baina ya raia na askari usalama yameendelea leo kwa siku ya tatu mfululizo.
-
Sudan yaishitaki Misri UNSC kuhusiana na eneo la Hala'ib, mzozo watokota
Jan 09, 2018 04:16Serikali ya Sudan kwa mara nyingine imewasilisha mashitaka yake dhidi ya Misri katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Cairo kudhibiti eneo la Hala'ib linalozozaniwa.
-
Sudan yafunga mpaka na Eritrea, yatuma maelfu ya askari mpakani
Jan 07, 2018 10:20Sudan imetangaza rasmi kufunga mpaka wake na Eritrea baada ya kutuma maelfu ya wanajeshi katika jimbo la Kassala lililopo katika mpaka wa Eritrea.
-
Uhusiano wa Sudan na Misri wazidi kuharibika; Khartoum yamwita nyumbani balozi wake
Jan 05, 2018 00:52Uhusiano wa Sudan na Misri umezidi kuharibika baada ya serikali ya Khartoum kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Cairo Misri.
-
Rais wa Sudan arefusha muda wa usitishaji vita na waasi kwa miezi mitatu mingine
Jan 04, 2018 10:51Rais wa Sudan amerefusha usitishaji vita wa upande mmoja katika majimbo ya Blue Nile na Kordofan ya Kusini kwa miezi mitatu mingine.
-
Waziri wa Sudan aghairisha safari yake Misri kwa sababu ya ugomvi baina ya nchi mbili
Jan 01, 2018 04:27Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan nchini Misri imeghairishwa kufuatia ugomvi na mvutano uliozuka baina ya nchi hizo mbili.
-
Jumatatu tarehe Mosi Januari 2018
Jan 01, 2018 00:54Leo ni Jumatatu 13 Rabiuthani 1439 Hijria sawa na tarehe Mosi Januari mwaka 2018.