Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • AU kuanzisha tena juhudi za usuluhishi kati ya serikali ya Sudan na waasi wa eneo la Darfur

    AU kuanzisha tena juhudi za usuluhishi kati ya serikali ya Sudan na waasi wa eneo la Darfur

    Dec 20, 2017 23:13

    Umoja wa Afrika utaanzisha tena usuluhishi kwa njia ya mazungumzo kati ya serikali ya Sudan na waasi wa Darfur baada ya mazungumzo hayo kusimama kwa muda wa miezi 16.

  • ICC yazijia juu nchi wanachama kwa kutomkamata Rais wa Sudan

    ICC yazijia juu nchi wanachama kwa kutomkamata Rais wa Sudan

    Dec 13, 2017 23:42

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amezikosoa vikali baadhi ya nchi wanachama wa Mkataba wa Roma uliounda mahakama hiyo, kwa kukataa kumtia mbaroni Rais Omar al-Bashir wa Sudan alipozitembelea.

  • ICC kuishitaki Jordan kwa kukataa kumtia nguvuni Rais wa Sudan

    ICC kuishitaki Jordan kwa kukataa kumtia nguvuni Rais wa Sudan

    Dec 11, 2017 23:06

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetangaza kuwa itairipoti Jordan katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na kukataa kumtia nguvuni Rais Omar al-Bashir wa Sudan alipokuwa safari nchini humo mwezi Machi mwaka huu.

  • Wanajeshi 10 wa Sudan wauawa katika mapigano huko Darfur

    Wanajeshi 10 wa Sudan wauawa katika mapigano huko Darfur

    Nov 28, 2017 04:17

    Askari 10 akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa jeshi la Sudan wameuawa katika mapigano mapya yaliyozuka hivi karibuni katika jimbo la Darfur.

  • Kamanda wa kundi moja la waasi atiwa mbaroni Darfur Sudan

    Kamanda wa kundi moja la waasi atiwa mbaroni Darfur Sudan

    Nov 27, 2017 11:45

    Wizara ya Ulinzi ya Sudan imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kamanda wa kundi moja la waasi wa eneo la Darfur la magharibi mwa Sudan kwa tuhuma za kuvunja haki za binadamu.

  • Sudan katika jitihada za kustawisha uhusiano wake na Russia

    Sudan katika jitihada za kustawisha uhusiano wake na Russia

    Nov 27, 2017 04:42

    Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ambaye alikuwa safarini mjini Moscow ameitaka Russia kuilinda Khartoum mbele ya uingiliaji kati wa Marekani nchini Sudan.

  • Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan

    Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan

    Nov 25, 2017 12:44

    Rais Omar al Bashir wa Sudan amesema kuwa mashinikizo na njama za Marekani ndivyo vilivyopelekea kugawanywa Sudan katika nchi mbili na kwamba Washington ina mpango wa kuigawa zaidi Sudan katika nchi tano tofauti.

  • Sudan yapinga misimamo dhidi ya Iran ya baadhi ya nchi za Kiarabu

    Sudan yapinga misimamo dhidi ya Iran ya baadhi ya nchi za Kiarabu

    Nov 22, 2017 23:57

    Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan amesema kuwa nchi yake haikubaliani na misimo iliyodhidi ya Iran na tangazo la vita la baadhi ya nchi za Kiarabu dhidi ya Jamhuri ya Kislamu.

  • Al Bashir atishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi Darfur

    Al Bashir atishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi Darfur

    Nov 08, 2017 11:45

    Rais wa Sudan ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi wa Darfur iwapo hawatakabidhi silaha zao.

  • UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini

    UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini

    Oct 27, 2017 04:13

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika mji mkuu wa nchi jirani ya Sudan, Khartoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS