-
Shambulio la watu wenye silaha kusini magharibi mwa Sudan
Jun 21, 2016 22:58Watu waliokuwa na silaha wamewaua watu kadhaa na kuwajeruhi wengine baada ya kushambulia eneo moja kusini magharibi mwa Sudan.
-
Sudan yalalamikia hatua ya UN kuongeza muda wa UNAMID
Jun 20, 2016 02:32Sudan imemuita mkuu wa vikosi vya kimataifa vya kusimamia amani huko Daruf UNAMID, kulalamikia hatua ya kuongezewa muda wa kuhudumu vikosi hivyo vyenye askari 20,000 kutoka nchi 30 duniani.
-
Kuanza mazungumzo baina ya Sudan na Sudan Kusini
Jun 06, 2016 22:03Mazungumzo kati ya maafisa wa Sudan na Sudan Kusini yalianza tena jana Jumatatu ya tarehe 6 Juni katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
-
Wasiwasi wa UNHCR kuhusu kutimuliwa Waeritrea nchini Sudan
Jun 03, 2016 09:57Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi la UNHCR limesema, lina hofu kubwa na hatua y ahivi karibuni ya kutimuliwa raia wa Eritrea walioko Sudan.
-
Watu wanane wauawa katika shambulizi msikitini Sudan
May 27, 2016 10:57Watu wanane wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa msikitini na watu waliokuwa na silaha katika mji wa al Junaynah mkoani Darfur Magharibi huko Sudan.
-
Sudan yamtimua ofisa wa UN kwa kuandaa ripoti 'bandia' juu ya Darfur
May 26, 2016 03:11Sudan imemtimua ofisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa nchini humo kwa tuhuma za kuandaa kile kilichotajwa na serikali ya Khartoum kuwa ripoti bandia kuhusu hali ya kiusalama katika eneo la Darfur.
-
Umoja wa Mataifa wasikitishwa na kufukuzwa afisa wake nchini Sudan
May 23, 2016 02:56Umoja wa Mataifa umesema kuwa, kitendo cha Sudan cha kukataa kumuongezea muda wa iqama na kibali cha kuishi afisa mmoja wa ngazi za juu wa umoja huo, kina maana ya kumfukuza nchini humo.
-
ICC yaitaka Uganda kueleza kwa nini haikumkamata Rais wa Sudan
May 21, 2016 11:28Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC imeitaka Uganda kueleza ni kwa nini ilishindwa kumkamata Rais Omar al-Bashir wa Sudan alipofanya ziara nchini humo wiki iliyopita.
-
Kushambuliwa kambi ya wakimbizi Darfur Sudan
May 11, 2016 03:16Watu wenye silaha wameishambulia kambi ya wakimbizi katika jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan na kuua watu wasiopungua watatu na kuwajeruhi wengine 11.