-
Arab League yaunga mkono mapatano yaliyofikiwa kati ya makundi ya Sudan
Jul 07, 2019 22:11Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ameunga mkono mapatano yaliyofikiwa kati ya Baraza Kuu la Kijeshi la Uongozi wa Mpito Sudan na makundi ya upinzani kwa ajili ya kuunda baraza la uongozi la kipindi cha mpito.
-
Sudan kushuhudia maridhiano jumuishi ya kitaifa katika kipindi cha mpito
Jul 06, 2019 03:47Muungano wa Uhuru na Mageuzi nchini Sudan umetangaza kuwa, nchi hiyo itashuhudia kuanza maridhiano jumuishi ya kitaifa katika kipindi cha utawala wa mpito.
-
Uungaji mkono wa rais wa Misri kwa Haftar katika mazungumzo yake ya simu na Trump
Jul 05, 2019 02:39Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Misri amesema kuwa rais wa nchi hiyo amezungumza na mwenzake wa Marekani kuhusiana na masuala ya Libya na Sudan.
-
Pande hasimu za Sudan zakubaliana kugawana madaraka
Jul 04, 2019 22:25Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameafikiana juu ya suala la kugawana madaraka katika kipindi cha mpito kuelekea katika uchaguzi.
-
Pande mbili hasimu nchini Sudan zaanza tena mazungumzo ya ana kwa ana
Jul 04, 2019 02:59Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameanza tena mazungumzo ya moja kwa moja juu ya kipindi cha mpito baada ya kusitiishwa mazungumzo hayo kwa mwezi mzima kufuatia mauaji yaliyofanywa na jeshi la Sudan dhidi ya zaidi ya waandamanaji 100 mbele ya makao ya jeshi mjini Khartoum.
-
AU: Makubaliano kati ya jeshi na waandamanaji Sudan yanakaribia kufikiwa
Jul 03, 2019 03:13Mjumbe wa Umoja wa Afrika anayeongoza timu ya upatanishi katika mgogoro wa Sudan amesema pande hasimu nchini humo zinatazamiwa kufikia makubaliano 'hivi karibuni'.
-
Maandamano makubwa Sudan; sisitizo la kufanyika harakati katika mkondo wa demokrasia
Jul 02, 2019 08:26Jumapili ya juzi nchi ya Sudan ilishuhudia moja ya siku ngumu zaidi tangu Omar Hassan al-Bashir Rais wa zamani wa nchi hiyo aondolewe madarakani.
-
Sadiq al-Mahdi alitaka jeshi la Sudan kuungana na kuepusha mapigano ya ndani
Jul 01, 2019 21:59Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan amesema nchi hiyo inapaswa kufanya kila liwezekanalo kwa ajili ya kuepusha mivutano na mgawanyiko kati ya kundi la wanajeshi wanaodhibiti Khartoum na vikosi vingine vya jeshi la nchi hiyo, la sivyo kuna uwezekano wa kujiitokeza machafuko makubwa zaidi nchini humo.
-
Kuendelea mgogoro nchini Sudan; utunishaji misuli wa Baraza la Kijeshi la Mpito kwa waandamanaji
Jul 01, 2019 02:29Katika hali ambayo, Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan limekuwa likikwepa kukabidhi madaraka ya nchi kwa utawala wa kiraia, wananchi wa nchi hiyo wameendelea kusisitiza ulazima wa kukabidhiwa haraka madaraka ya nchi kwa serikali ya kiraia.
-
Wanajeshi wakandamiza maandamano ya wananchi Sudan; watu saba wauawa
Jun 30, 2019 23:51Watu wasiopungua saba wanaripotiwa kuuawa nchini Sudan baada ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutumia mkono wa chuma kuyakandamiza maandamano ya wananchi ya kutaka utawala wa kiraia.