-
Sudan Kusini yapiga marufuku ndege za walinda amani wa UN kutumia uwanja wa Juba
Aug 22, 2017 10:57Serikali ya Sudan Kusini imepiga marufuku ndege za vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kuruka kutokea uwanja wa ndege wa mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
-
Watoaji wa huduma za kibinadamu Sudan Kusini waendelea kushambuliwa
Aug 19, 2017 23:54Mratibu wa masuala ya kibiadamu nchini Sudan Kusini amesema kuwa mashambulizi dhidi ya watoaji wa huduma za kibiandamu nchini humo yameongezeka.
-
Uganda yafungua kambi mpya kwa ajili ya wakimbizi wa Sudan Kusini
Aug 16, 2017 23:42Uganda imefungua kambi mpya kwa ajili ya kuwapokea maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaozidi kumiminika kila uchao katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mapigano makali yaikumba Sudan Kusini karibu na mpaka na Ethiopia
Aug 11, 2017 11:44Mapigano makali yameripotiwa kujiri leo katika mji wa Pagak nchini Sudan Kusini karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia wakati waasi walipoanzisha mashambulizi dhidi ya askari jeshi wa serikali.
-
Jeshi la Sudan Kusini lateka ngome kuu ya waasi ya Pagak
Aug 07, 2017 12:03Jeshi la serikali ya Sudan Kusini limefanikiwa kutwaa ngome kikuu ya waasi katika eneo la Pagak lililoko karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia.
-
UN yaunga mkono kurejeshwa amani nchini Sudan Kusini
Aug 03, 2017 09:55Umoja wa Mataifa umekaribisha kurejeshwa amani na kuhitimishwa mivutano nchini Sudan Kusini.
-
UN yaunga mkono kurejeshwa amani nchini Sudan Kusini
Aug 03, 2017 09:41Umoja wa Mataifa umekaribisha kurejeshwa amani na kuhitimishwa mivutano nchini Sudan Kusini.
-
Abiria 14 wauawa na kujeruhiwa katika uvamizi Sudan Kusini
Aug 02, 2017 23:55Abiria wanne wameuawa na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia msafara wa mabasi nchini Sudan Kusini.
-
Amnesty International :Ubakaji dhidi ya raia umekithiri Sudan Kusini
Jul 24, 2017 10:32Jumuiya ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International imetahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la ukatili wa kingono na ubakaji wa maelfu ya wanawake, wasichana na hata wanaume katika nchi za Sudan Kusini.
-
Ofisa wa Umoja wa Mataifa ataka amani irudi Sudan Kusini
Jul 21, 2017 22:02Msaidizi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia ulinzi wa amani El Ghassim Wane amesema changamoto zinazoikabili Sudan Kusini zinatakiwa kuondolewa, ili kutumia fursa ya uwepo wa vikosi vya ulinzi wa usalama kuirudisha nchi hiyo kwenye hali ya utulivu na usalama.