-
Wafanyakazi wa UNICEF watekwa nyara Sudan Kusini
Jul 12, 2017 10:00Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, wafanyakazi watatu wa shirika hilo wametekwa nyara nchini Sudan Kusini.
-
Jumapili Julai 9, 2017
Jul 09, 2017 12:46Leo ni Jumapili tarehe 14 Shawwal 1438 Hijria, sawa na Julai 9, 2017 Miladia.
-
UN yatahadharisha kuhusu ukosefu wa amani Sudan Kusini
Jul 05, 2017 10:02Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza kuwa nchini hiyo inasumbuliwa na hali hatari sana ya ukosefu wa amani.
-
Kuakhirishwa mazungumzo ya usalama kati ya Sudan na Sudan Kusini
Jul 03, 2017 23:14Mazungumzo ya amani kati ya Sudan na Sudan Kusini yameakhirishwa hadi wakati mwingine kutokana na matatizo ya kilojistiki.
-
Katibu Mkuu UN: Sharti vita vimalizike Sudan Kusini ili kutatua mgogoro wa wakimbizi
Jun 23, 2017 23:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema suluhu ya wimbi kubwa la wakimbizi barani Afrika tangu mauaji ya Kimbari ya Rwanda ni kumaliza mgogoro wa Sudan Kusini.
-
Ripoti ya UN: Sudan Kusini haina tena baa la njaa
Jun 21, 2017 23:50Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu usalama wa chakula iliyotolewa Jumatano wiki hii imeeleza kuwa Sudan Kusini haiko tena katika kipengee cha nchi zilizoathiriwa na baa la njaa, japokuwa watu 45,000 katika mikoa ya Jonglei na Unity nchini humo wanatarajiwa kuendelea kukabiliwa na hali ngumu na kwamba hali ya mambo hata hivyo bado ni mbaya.
-
UNICEF: Watoto 1,000 wanakimbia vita Sudan Kusini kila siku
Jun 20, 2017 09:13Huku ulimwengu leo ukiadhimisha Siku ya Wakimbizi duniani, imebainika kuwa watoto 1,000 kila siku hufurushwa makwao nchini Sudani Kusini.
-
UN: Ugonjwa wa kuharisha umeua watu 279 nchini Sudan
Jun 13, 2017 08:58Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa OCHA imesema kwa akali watu 279 wamepoteza maisha kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha nchini Sudan.
-
Rais Salva Kiir akosa kuhudhuria mkutano wa IGAD kuhusu nchi yake
Jun 12, 2017 09:28Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kieneo ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) unaofanyika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa unajadili mgogoro wa wakimbizi katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Mrengo wa waasi Sudan Kusini wasaini mapatano ya amani
Jun 05, 2017 01:59Kundi la waasi la Sudan Kusini katika Jimbo la Yei River limesaini makubaliano ya amani na serikali ili kumaliza mapigano yaliyosababisha maelfu ya watu kukimbia makazi yao.