-
Polisi: Watu 600 wametoroka kizuizini Sudan Kusini
Jan 23, 2025 04:08Polisi nchini Sudan Kusini imesema watu 600 waliokuwa wakizuiliwa baada ya kukamatwa kwa kushiriki maandamano ya ghasia na uporaji wa biashara wametoroka katika jela ya kijeshi katika mji mkuu Juba.
-
Wananchi wa Sudan Kusini wanataabika na mafuriko
Dec 23, 2024 23:02Mafuriko ya msimu yaliyoiathiri Sudan Kusini, ambayo hapo huko nyuma yalikuwa yanatabirika na yalikuwa ni sehemu ya maisha ya watu wa maeneo hayo, sasa yamekuwa janga la kila mwaka, na kuwalazimisha mamia ya maelfu ya watu kuyahama makazi yao.
-
Sudan Kusini na UN zatoa chanjo ya kipindupindu huku maambukizi yakiongezeka nchini
Dec 11, 2024 03:59Serikali ya Sudan Kusini, kwa ushirikiano na mashirika ya Umoja wa Mataifa imeanza kutekeleza kampeni ya utoaji chanjo ili kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu.
-
Watoto 36 wapoteza maisha kwa malaria Sudan Kusini katika muda wa wiki 2
Nov 05, 2024 22:59Afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Sudan Kusini jana Jumanne alithibitisha kupoteza maisha watu 41 kutokana na ugonjwa wa malaria ,36 wakiwa ni watoto katika mji wa Pibor nchini humo.
-
Sudan Kusini: Mahakama ya Kijeshi yawahukumu vifungo jela wanajeshi wanane kwa hatia ya mauaji, ubakaji
Sep 04, 2024 10:51Mahakama ya Kijeshi ya Marid nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi wanane kwa mauaji na makosa mengine.
-
UN:80% ya Wasudan Kusini wanahitaji ulinzi, msaada wa kibinadamu
Aug 14, 2024 23:15Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuzorota nchini Sudan Kusini, huku takriban asilimia 80 ya wananchi wa nchi hiyo wakihitaji kudhaminiwa usalama na ulinzi na vile vile kupewa msaada wa kibinadamu.
-
Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yanakabiliwa na hatari ya kuvunjika
Jul 10, 2024 08:51Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa yanakaribia kukamilika, yamekumbwa na mkwamo baada ya makundi ya upinzani ya nchi hiyo kutaka kufutwa kwa muswada mpya uliopasishwa unaoruhusu kuwekwa kizuizini watu bila kwanza kutolewa hati ya kukamatwa.
-
Sekta ya mafuta ya Sudan Kusini yaathiriwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan
Mar 27, 2024 08:25Machafuko na ukosefu wa usalama vinaweza kushtadi huko Sudan Kusini baada ya moja ya mabomba yake makuu ya mafuta linaloelekea katika masoko ya kimataifa kupitia nchi jirani ya Sudan kuathirika mwezi uliopita. Haya ni kwa mujibu wa wataalamu wa masuala ya uchumi. Wamesema kuwa kusitishwa uzalishaji wa mafuta huko Sudan Kusini kunaweza kuchochea pakubwa ghasia na ukosefu wa usalama nchini humo.
-
Taharuki yatanda Sudan Kusini baada ya watu 15 kuuawa Pibor
Mar 20, 2024 23:24Hali ya wasi wasi imetanda nchini Sudan Kusini kufuatia mauaji ya watu 15 yaliyotokea katika eneo la Pibor, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Sudan Kusini: Madola makubwa yanatumia vikwazo kubinya nchi zinazoendelea
Mar 02, 2024 08:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini amesema moja ya changamoto kuu zinazozikabili nchi maskini za ulimwengu wa tatu ni vikwazo vya madola makubwa duniani dhidi yazo.