-
Rais Kiir na Machar warefusha kipindi cha mpito Sudan Kusini kwa miaka 2
Aug 05, 2022 11:27Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na makamu wake ambaye wamekuwa wakivutana na kuhitalifiana kwa muda mrefu sasa Riek Machar wametangaza kuwa wataendelea kuiongoza Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa miaka miwili zaidi, mara tu kipindi cha mpito kitakapomalizika.
-
Askari 12 wa Sudan Kusini wauawa katika jimbo lenye utajiri wa mafuta
Jul 23, 2022 11:23Wanajeshi wasiopungua 12 wa Sudan Kusini wameuawa huku wengine 13 wakijeruhiwa katika shambulio la waasi kaskazini mwa nchi.
-
Jumamosi, Julai 9, 2022
Jul 09, 2022 02:20Leo ni Jumamosi tarehe 9 Dhul-Hijja mwaka 1443 Hijria, inayosadifiana na tarehe 9 Julai mwaka 2022 Miladia.
-
Ndoa za utotoni Sudan Kusini zaendelea kuwa changamoto kwa jamii ya nchi hiyo
Jun 23, 2022 07:57Ripoti zinasema kuwa, baadhi ya mabinti wadogo nchini Sudan Kusini wangali wanapigwa mnada kuingia katika ndoa mkabala wa waoaji kutoa mahari ya mifugo ya ng'ombe kwa familia za mabinti wanaoolewa.
-
Watu zaidi ya milioni 7.7 wanakabiliwa na mgogoro wa chakula Sudan Kusini
Apr 10, 2022 11:06Mapigano ya silaha, mafuriko na ukame huko Sudan Kusini vimesababisha mgogoro wa chakula kwa watu zaidi ya milioni 7.7 ambao ni sawa na asilimia 63 ya jamii ya watu wote wa nchi hiyo.
-
UN: Raia 440 wameuawa katika mapigano nchini Sudan Kusini
Mar 02, 2022 13:50Umoja wa Mataifa umesema, raia wasiopungua 440 wameuawa katika mapigano makali kati ya pande hasimu kusini-magharibi ya Sudan Kusini ndani ya kipindi cha miezi michache katika mwaka uliopita.
-
Watu 32 wauawa katika mapigano ya makabila hasimu Sudan Kusini
Jan 26, 2022 07:30Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali watu 32 wameuawa katika mapigano baina ya makabila hasimu katika nchi ya Sudan Kusini.
-
Makumi ya watu wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Jan 25, 2022 07:59Watu wasiopungua 30 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan Kusini.
-
Mafuriko yaikumba Sudan Kusini
Dec 13, 2021 12:40Mvua kubwa zilizonyesha huko Sudan Kusini zimesababisha mafuriko nchini humo.
-
UN: Makubaliano ya amani ya Sudan Kusini yako hatarini
Dec 09, 2021 04:32Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka 2018 nchini Sudan Kusini yapo katika hatari kubwa kutokana na mwendo wa kinyonga wa kuyatekeleza.