-
UN: Jeshi la Sudan Kusini ndilo linaloongoza machafuko yanayojiri nchini humo
Sep 09, 2016 03:29Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Sudan Kusini lina mkono katika machafuko yanayojiri nchini humo.
-
MONUSCO: Kuna maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini katika ardhi ya DRC
Sep 08, 2016 23:10Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) kimetangaza kuwa, kuna maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini waliokimbilia nchini humo.
-
Marekani: Hatutaki Riek Machar arejee madarakani nchini Sudan Kusini
Sep 08, 2016 09:37Serikali ya Marekani imeweka wazi azma yake ya kutofurahishwa kurejea madarakani kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar.
-
Sudan Kusini yakubali askari wengine 4,000 wa kulinda amani wa UN
Sep 05, 2016 03:09Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ameafiki kutumwa askari wengine zaidi 4,000 wa kulinda amani baada ya kuwa awali alikataa kutumwa kikosi cha kieneo kwa madai kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kujitawala nchi hiyo.
-
Viongozi wa kidini Sudan Kusini wataka kutumwa wanajeshi Juba
Sep 04, 2016 02:50Viongozi wa kidini huko Sudan Kusini wametaka kutumwa vikosi vya jeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
-
Wajumbe wa Baraza la Usalama la UN wako Sudan Kusini
Sep 03, 2016 02:31Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamewasili Juba, Sudan Kusini tayari kwa ziara ya siku tatu katika nchi hiyo inayokumbwa na machafuko ya ndani.
-
Sudan yatiwa wasi wasi na kuendelea kuingia wakimbizi wa Sudan Kusini nchini humo
Sep 01, 2016 03:26Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Sudan imeonyesha wasi wasi wake juu ya hatua ya kuendelea kuingia wakimbizi wa Sudan Kusini nchini humo.
-
Wanadiplomasia wa Baraza la Usalama kuelekea Sudan Kusini
Aug 31, 2016 23:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini amesema leo kuwa wanadiplomasia wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watafanya ziara nchini humo siku chache zijazo.
-
Mwito wa Umoja wa Mataifa wa kutolewa misaada zaidi ya kimataifa kwa wakimbizi Afrika
Aug 31, 2016 03:28Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kusaidia kutatua mgogoro wa wakimbizi unaotokana na vita vya ndani nchini Sudan Kusini kwa uzito ule ule ambao wanakabiliana na wimbi la wakimbizi katika nchi za Ulaya.
-
Sudan Kusini yakosoa kutoroshwa nchini humo Riek Machar
Aug 29, 2016 09:46Waziri wa Habari wa Sudan Kusini ameeleza kuwa hatua ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kufanikisha kuondoka Juba Riek Machar Makamu wa zamani wa Rais wa Sudan Kusini ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.