-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ampongeza Rais wa Syria katika maadhimisho ya Siku ya Taifa
Apr 23, 2017 09:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia salamu za pongezi Rais Bashar al-Assad wa Syria kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya nchi hiyo.
-
Lavrov: Russia, Iran, Hizbullah zitaendelea kuiunga mkono Syria kupambana na magaidi
Apr 23, 2017 03:22Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametilia mkazo wajibu wa kubadilishwa misimamo ya nchi za Magharibi katika suala zima la kupambana na magenge ya kigaidi nchini Syria na kusema kuwa, Moscow, Tehran na Hizbullah zinaiunga mkono Damascus katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Assad: Magaidi wanapata himaya ya Marekani, wanatumia kila mbinu vitani Syria
Apr 22, 2017 23:24Rais Bashar al Assad wa Syria amesema maadui wa taifa la Syria hasa magaidi wakufurishaji wanaopata himaya ya Marekani wanatumia kila mbinu katika vita vyao dhidi ya watu wa Syria.
-
Russia yailaumu Marekani kwa kukwamisha uchunguzi, Khan Shaykhun
Apr 22, 2017 02:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kusikitishwa na upinzani wa Marekani dhidi ya pendekezo lililotolewa na Moscow na Tehran kwa ajili ya kufanyika uchunguzi wa shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun nchini Syria.
-
Assad: Nchi za Magharibi zinazuia uchunguzi kuhusu
Apr 21, 2017 02:33Rais Bashar la al-Assad wa Syria anasema nchi za Magharibi zinalenga kuzuia uchunguzi huru kuhusu kile kilichotajwa kuwa ni hujuma ya silaha za kemikali nchini humo hivi karibuni.
-
Al Jaafari: Israel na ugaidi ni pande mbili za sarafu moja
Apr 20, 2017 23:44Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel na ugaidi ni pande mbili za sarafu moja na amemlaumu vikali Nikolay Mladenov, mratibu maalumu wa umoja huyo katika mazungumzo ya mapatano ya Mashariki ya Kati kwa kudharau kutaja milima ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Israel, katika ripoti yake kwa umoja huo.
-
HRW yalaani shambulizi la Marekani dhidi ya msikiti nchini Syria
Apr 18, 2017 11:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelaani shambulizi la anga la Marekani dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria mwezi uliopita, ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Kikao cha wataalamu wa amani ya Syria chaanza mjini Tehran
Apr 18, 2017 03:41Kikao cha wataalamu wa masuala ya amani na utulivu wa Syria ambacho ni muendelezo wa mazungumzo ya amani ya Astana Kazakhstan, kimeanza leo Jumanne hapa mjini Tehran.
-
Mkutano wa kusaka amani Syria unafanyika Tehran
Apr 17, 2017 23:22Mkutano wa wataalamu kuhusu mazungumzo ya amani Syria unafanyika leo mjini Tehran, Iran katika fremu ya mchakato wa amani wa Astana, Kazakhstan.
-
Lavrov: Marekani imevuruga mchakato wa kisiasa wa Syria
Apr 17, 2017 09:21Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria yamekwamisha kutatuliwa mgogoro wa Syria kwa njia za kidiplomasia.