-
Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria
Feb 14, 2016 23:38Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.
-
Russia: Bashar Assad ni Rais halali wa Syria
Feb 14, 2016 23:38Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha kuwa Syria itaathiriwa na hali ya machafuko iwapo Rais Bashar Assad wa nchi hiyo atang'olewa madarakani.
-
Syria yatuma barua kwa Umoja wa Mataifa ikilaani mashambulizi ya Uturuki
Feb 14, 2016 10:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kulaani mahambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Zarif: Wasyria wenyewe waamue mustakabali wao
Feb 13, 2016 22:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa uamuzi juu ya serikali ijayo ya Syria uko mikononi mwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Saudia na Uturuki zajiandaa kutuma vikosi vya nchi kavu Syria?
Feb 13, 2016 11:57Saudi Arabia na Uturuki zimesema kuwa huenda karibuni hivi zikaanzisha mashambulizi ya nchi kavu nchini Syria eti kwa lengo la kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh!
-
Rais Bashar al-Assad asisitiza kukombolewa ardhi yote ya Syria kutoka kwenye uvamizi wa magaidi
Feb 12, 2016 23:53Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitiza kuwa operesheni za jeshi na vikosi vya wananchi zitaendelea hadi kuhakikisha maeneo yote ya ardhi ya Syria yamekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi.
-
NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq
Feb 12, 2016 12:10Shirika la Kijeshi la NATO linatafakari kuingia katika vita vinavyoendelea katika nchi za Syria na Iraq.
-
Russia: Kutuma vikosi vamizi Syria kutachochea Vita vya Dunia
Feb 12, 2016 04:38Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha juu ya kutumwa vikosi vya kigeni nchini Syria na kusema kuwa hatua hiyo haitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuchochea "Vita Vipya vya Dunia".
-
Majeshi ya Syria yazidi kupata ushindi Latakia
Feb 09, 2016 04:16Jeshi la Syria likisaidiwa na wananchi limefanikiwa kuwatimua wapiganaji wa makundi ya kigaidi katika vijiji vinne muhimu katika eneo la Latakia karibu na mpaka wa nchi hiyo na Uturuki.
-
UN yakosoa takwa la kuondolewa Assad madarakani
Feb 08, 2016 05:53Kamati ya Kimataifa inayofanya uhakiki kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Syria imetangaza kuwa, msimamo unaosisitiza juu ya udharura wa kuondoka madarakani Rais Bashar Assad kabla ya kuanza mazungumzo ya amani, ni kizuizi katika njia ya kupambana na ugaidi.