-
Uchaguzi wa Rais wa Syria kufanyika mwezi ujao wa Mei
Apr 18, 2021 22:16Syria imeanisha Mei 26 mwaka huu kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais katika taifa hilo la Kiarabu linalosakamwa na mapigano, hujuma za kigaidi na uingilaji wa kigeni kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.
-
Viongozi wa UAE wamtumia salamu za pongezi Rais Assad kwa mnasaba wa siku ya uhuru wa Syria
Apr 18, 2021 01:58Kiongozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), naibu wake na mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi, wamemtumia, kwa nyakati tofauti, Rais Bashar al Assad wa Syria salamu za pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya uhuru na kufikia tamati kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na Wakoloni Wafaransa.
-
Tuhuma za matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya Syria; mbinu yenye lengo la kudhoofisha mamlaka ya kujitawala Damascus
Apr 17, 2021 21:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imepinga ripoti iliyopewa jina la " Timu ya Uchunguzi na Utambuzi" iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) kuhusu tukio la Saraqib na kuitaja ripoti hiyo kuwa ni ya upotoshaji na ya uongo.
-
Jumamosi, 17 Aprili, 2021
Apr 16, 2021 22:10Leo ni Jumamosi tarehe 4 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 17 Aprili 2021 Miladia.
-
Russia yasisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Arab League
Apr 12, 2021 22:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria
Apr 10, 2021 07:59Lebanon imekosoa vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel kutumia anga ya hiyo ya Kiarabu kutekeleza mashambulio ya makombora dhidi ya Syria.
-
Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuiunga mkono Syria kwa nguvu zote
Apr 09, 2021 03:44Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Tehran itaendelea kuiunga mkono kwa nguvu zote serikali ya Syria.
-
Iraq na Syria zaendelea na mazungumzo kuhusu kurudi nyumbani wakimbizi
Apr 02, 2021 02:04Nchi mbili za Iraq na Syria zinaendelea na mazungumzo baina yao kuhusu namna ya kuwarejesha makwao wakimbizi wa nchi hizo mbili waliokimbilia katika nchi hizo.
-
Katibu Mkuu wa UN: Wasyria 9 kati ya 10 wanaishi kwenye umasikini
Mar 31, 2021 02:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa wafadhili kusaidia kushughulikia mahitaji yanayoongezeka na kuongeza ahadi za kifedha na kibinadamu kuwasaidia Wasyria na kupunguza mzigo mkubwa wa kifedha wa nchi ambazo zinahifadhi wakimbizi.
-
Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria
Mar 30, 2021 22:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.