-
Jeshi la Syria lanasa silaha za Israel ilizowapa magaidi wakufurishaji
May 04, 2018 09:16Jeshi la Syria limepata idadi kubwa ya silaha, zikiwemo za kemikali, ambazo utawala haramu wa Israeli, ulikuwa umewapa magaidi wakufurishaji nchini humo.
-
Misri: Inawezekana kutuma nchini Syria vikosi vya Kiarabu
May 04, 2018 09:04Misri imesema kuwa mazungumzo yanaendelea kufanyika baina ya maafisa wa nchi kadhaa kujadili pendekezo la Marekani la kuunda jeshi la Kiarabu litakalochukua nafasi ya wanajeshi wa Marekani waliopo Syria.
-
Muungano wa Marekani wafanya maauaji mengine ya umati nchini Syria
May 03, 2018 23:40Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani ambao unadai kupambana na magaidi wa Daeshi (ISIS) nchini Syria umefanya mauaji mengine ya umati dhidi ya raia wa mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Boroujerdi: Kama vikwazo dhidi ya Iran vitarejeshwa hakutakuwa na haja ya kuendelea na JCPOA
May 02, 2018 21:17Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kama vikwazo vitarejeshwa, hakutakuwa na kitu chochote cha kuweza kuwakinaisha wananchi, Serikali na Bunge la Iran na kuwafanya wakubali kuendelea kuwemo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Makumi ya magaidi nchini Syria wajisalimisha
Apr 29, 2018 22:10Makumi ya magaidi nchini Syria wameripotiwa kujisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo ikiwa ni kuzidi kupata pigo magaidi hao na waungaji mkono wao.
-
Zarif: Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria
Apr 28, 2018 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Mchakato wa Amani wa Astana hivi sasa ni harakati pekee ambayo kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa na wengine inaweza kupelekea kupatikana amani adilifu na endelevu nchini Syria.
-
Russia yakosoa picha na video bandia zinazodai kujiri shambulizi la kemikali Syria
Apr 27, 2018 23:27Mwakilishi wa Russia katika Shirika la Kuzuia silaha za Kemikali, amekosoa kitendo cha kuenezwa picha na video zisizo na ukweli wowote zinazoonyesha kwamba kulijiri shambulizi la silaha za kemikali mjini Douma, Ghouta Mashariki nchini Syria.
-
Syria yagundua silaha za kemikali za magaidi, zimetengenezwa Ujerumani na UK
Apr 26, 2018 23:58Jeshi la serikali ya Syria limegundua ghala la sihala za kemikali zilizotongenezwa Ujerumani na Uingereza zilizoachwa nyuma na magaidi katika mji wa Douma.
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa UN la kuwepo umoja huko Syria
Apr 25, 2018 23:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuwepo umoja na uthabiti nchini Syria ni jambo lenye udharura.
-
Zarif: Uingiliaji wa maajinabi umechelewesha kupatikana suluhu na amani nchini Syria
Apr 25, 2018 22:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, uingiliaji wa maajinabi umechelewesha kupatikana suluhu na amani nchini Syria.