Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Kremlin yajibu Twitter ya Trump: Makombora erevu yanapaswa kuelekezwa kwa magaidi, si kwa serikali halali

    Kremlin yajibu Twitter ya Trump: Makombora erevu yanapaswa kuelekezwa kwa magaidi, si kwa serikali halali

    Apr 12, 2018 10:25

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin amesema Moscow Russia haishiriki katika udiplomasia wa Twitter.

  • Russia: Vikosi vya Syria vyaikomboa Douma na Ghouta yote ya Mashariki

    Russia: Vikosi vya Syria vyaikomboa Douma na Ghouta yote ya Mashariki

    Apr 12, 2018 02:53

    Russia imesema kuwa jeshi la Syria limeukomboa mji wa Douma; mji wa mwisho huko Ghouta ya Mashariki kuwa chini ya udhibiti wa magaidi.

  • Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria

    Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria

    Apr 11, 2018 22:03

    Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kusambaratishwa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria kumeikasirisha sana Marekani na kwamba vitisho vinavyotolewa hivi sasa na Washington dhidi ya Damascus vina shabaha ya kuhamisha mazungumzo ya Astana na Sochi na kuyapelekea Vienna na Geneva kwa lengo la kudhamini malengo ya Marekani.

  • Jeshi la Syria lateka na kuwashikilia wanajeshi vamizi wa Uingereza Ghouta Mashariki

    Jeshi la Syria lateka na kuwashikilia wanajeshi vamizi wa Uingereza Ghouta Mashariki

    Apr 11, 2018 22:02

    Shirika rasmi la habari la Syria limetangaza kuwa wanajeshi kadhaa wa Uingereza wanashikiliwa mateka kufuatia operesheni iliyofanywa na jeshi la Syria huko Ghouta Mashariki katika viunga vya Damascus.

  • Velayati: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria yatajibiwa

    Velayati: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria yatajibiwa

    Apr 11, 2018 09:13

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa jinai iliyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya kituo cha anga cha T-4 nchini Syria hayatapita hivihivi bila ya kujibiwa.

  • Hadithi ya Uongofu (112)

    Hadithi ya Uongofu (112)

    Apr 11, 2018 06:21

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfulizo huu wa kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu

  • Maazimio matatu kuhusu Syria yafeli katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Maazimio matatu kuhusu Syria yafeli katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Apr 11, 2018 03:12

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana usiku lilipigia kura maazimio matatu kuhusu matukio ya hivi karibuni Syria lakini yote hayakupata kura za kutosha.

  • Syria: Sheria za kimataifa hazina thamani yoyote kwa Marekani

    Syria: Sheria za kimataifa hazina thamani yoyote kwa Marekani

    Apr 11, 2018 00:06

    Balozi na mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa matamshi ya vitisho yaliyotolewa na Marekani katika Baraza la Usalama la umoja huo na kueleza kuwa baraza hilo na misingi ya sheria za kimataifa havina thamani yoyote ile kwa nchi hiyo.

  • Russia yaonya itakabiliana na chokochoko za Marekani Syria

    Russia yaonya itakabiliana na chokochoko za Marekani Syria

    Apr 10, 2018 12:18

    Mbunge wa ngazi za juu nchini Russia ameionya Marekani isichukue hatua zozote zilizo kinyume cha sheria nchini Syria kufuatia madai ya hivi karibuni ya kujiri hujuma ya silaha za kemikali katika mji unaoshikiliwa na magaidi wa Douma.

  • Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kushirikiana hadi usalama urejee Syria

    Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kushirikiana hadi usalama urejee Syria

    Apr 09, 2018 23:19

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zitaendelea kuwa na uhusiano wa kistratajia na ushirikiano wa karibu hadi usalama, utulivu na uthabiti urejee kikamilifu nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS