-
Ayatullah Khatami: Harakati ya Dei 19 ilikuwa nembo ya umoja wa taifa la Iran
Jan 06, 2017 10:44Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, harakati ya Dei 19 iliyosadifiana na Januari 9 mwaka 1978 ulikuwa mwanzo wa hatua ya pili ya mapinduzi ya Kiislamu na nembo ya umoja wa taifa la Iran.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran aonya kuhusu jinai za Saudia, Bahrain
Dec 30, 2016 12:29Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameonya kuhusu mauaji na ukandamizaji unaofanywa na tawala za kikoo za Saudi Arabia na Bahrain dhidi ya mataifa ya Waislamu na kusema tawala hizo zinaelekea kusambaratika kutokana na jinai zao hizo.
-
Rais Rouhani: Kuwa na uhusiano wa karibu na majirani ni misingi ya sera za nje za Iran
Dec 23, 2016 23:38Rais Hassan Rouhani amesema moja ya misingi ya sera za nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa na uhusiano wa karibu na majirani hususan nchi za Asia ya Katina eneo la Kaukasia.
-
Ayatullah Siddiqi: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Waislamu wote duniani
Dec 23, 2016 12:55Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amepongeza wanajeshi wa Syria na vikosi vya vya kujitolea vya wananchi kwa kuukomboa mji wa Aleppo (Halab) uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria, na kubainisha kuwa, ushindi huo sio tu wa taifa la Syria bali ni ushindi pia kwa Waislamu wote duniani.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza Tehran
Dec 15, 2016 04:36Mkutano wa Kimataifa wa 30 wa Umoja kati ya Waislamu umeanza mapema leo mjini Tehran kwa kaulimbiu ya udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
-
Mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran
Dec 15, 2016 01:59Duru ya 31 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Mkutano wa usalama waanza mjini Tehran
Dec 11, 2016 04:35Mkutano wa kwanza wa usalama umeanza kufanyika leo hapa mjini Tehran ukiwa na ajenda ya "usalama wa kieneo magharibi mwa Asia.
-
'Iran itatoa jibu kali baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia'
Dec 02, 2016 12:43Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema hatua ya Bunge la Congress la Marekani kurefusha vikwazo dhidi ya Iran ni ukiukaji wa wazi wa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Tehran: Njama za kuharibu usalama wa Iran zimefeli
Oct 30, 2016 12:12Kaimu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, njama zote za maadui za kuvuruga usalama wa Iran zimefeli.
-
Safari ya Mogherini Tehran, mashauriano kuhusu masuala ya kieneo
Oct 29, 2016 09:33Federica Mogherini Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya pande mbili, matukio ya kieneo na kimataifa.