-
Jumatatu, Oktoba 8, 2018
Oct 08, 2018 02:32Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba 8, mwaka 2018 Milaadia.
-
Zarif: Mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa Idlib Syria yameshafikiwa
Sep 08, 2018 01:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kikao cha pande tatu za Iran, Russia na Uturuki kilichofanyika hapa Tehran jana Ijumaa, kumefikiwa mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa mkoa wa Idlib, nchini Syria.
-
Taarifa ya pamoja ya marais wa Iran, Russia na Uturuki kuhusu Syria katika kikao cha Tehran
Sep 07, 2018 15:07Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia, na Uturuki wametoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano wao wa pande tatu mjini Tehran ambapo wamesisitiza kuhusu msimamo wao wa kudumishwa uhuru, mamlaka ya kujitawala na kulinda mipaka yote ya Syria.
-
Qassemi: Kikao cha Tehran ni fursa nzuri kwa ajili ya muungano wa kieneo
Sep 06, 2018 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kikao cha wakuu wa Iran, Uturuki na Russia hapa Tehran ni fursa nzuri kwa diplomasia na mchakato wa kisiasa wa kuvishinda vita na magaidi kusalimu amri mbele ya matakwa na irada ya wananchi.
-
Siddiqui: Iran haitafanya mazungumzo na serikali na rais wa sasa Marekani
Aug 03, 2018 15:38Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema Wamarekani si watu wa kufanya nao mazungumzo na iwapo kuna siku Iran itafanya mazungumzo basi si na rais na serikali ya sasa ya Marekani.
-
Jeshi la SEPAH la Iran lasambaratisha makundi mawili ya kigaidi mjini Tehran
May 29, 2018 08:02Kamanda wa Kikosi cha Muhammad Rasulullah cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH, ametangaza kusambaratishwa makundi mawili ya kigaidi mjini Tehran.
-
Mkutano wa Tehran: Taifa la Palestine liundwe mji mkuu wake ukiwa ni Quds (Jerusalem)
May 15, 2018 02:42Mkutano wa dharura wa Kamati ya Palestina ya Jumuiya ya Mabunge ya Nchi za Kiislamu umemalizika Tehran Jumatatu kwa kutoa taarifa iliyosisitiza kuhusu kuundwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Quds (Jerusalem) sambamba na wakimbizi wote wa Palestina kupewa haki ya kurejea katika ardhi zao za jadi.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaanza mjini Tehran
Apr 19, 2018 15:12Mashindano ya Kimataifa ya 35 ya Qur'ani Tukufu yameanza leo mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 84 kutoka maeneo yote ya dunia.
-
Sisitizo la Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco la kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 17, 2018 14:53Wawakilishi wa nchi za Kiafrika za Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco wamesisitiza katika Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) kupatiwa ufumbuzi matatizo yanayoukabili Ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana pia na utawala ghasibu za Kizayuni.
-
Kikao cha 13 cha Mabunge ya Nchi za Kiislamu kuanza Jumamosi jijini Tehran
Jan 12, 2018 13:57Kikao cha 13 cha Mabunge ya Nchi za Kiislamu wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) kitaanza shughuli zake kesho hapa Tehran kwa kufanyika vikao vya kitaalamu na pia vya kamati za utekelezaji.