Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Syria na Tunisia zajadili suala la Rais Assad kushiriki kikao cha Arab League

    Syria na Tunisia zajadili suala la Rais Assad kushiriki kikao cha Arab League

    Jan 12, 2019 08:41

    Serikali ya Tunisia na Syria zimefanya mazungumzo kujadili suala la kushiki Rais Bashar al-Assad katika kikao kijacho cha viongozi wa Kiarabu.

  • Essebsi: 2019 ni mwaka muhimu kwa Tunisia

    Essebsi: 2019 ni mwaka muhimu kwa Tunisia

    Jan 01, 2019 23:17

    Rais wa Tunisia amezungumzia uchaguzi ujao wa rais na bunge nchini humo na kusema kuwa mwaka 2019 utakuwa mwaka muhimu kwa nchi hiyo.

  • Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria

    Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria

    Dec 21, 2018 23:31

    Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimetangaza kuwa, karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magenge ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria.

  • Rais wa zamani wa Tunisia: Saudia na Imarati ni hatari kwa demokrasia

    Rais wa zamani wa Tunisia: Saudia na Imarati ni hatari kwa demokrasia

    Nov 30, 2018 11:38

    Rais wa zamani wa Tunisia ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa na Saudi Arabia na Imarati kwa ajili ya kuingilia uchaguzi mkuu ujao nchini humo.

  • Sababu za mivutano ya sasa ya kisiasa nchini Tunisia

    Sababu za mivutano ya sasa ya kisiasa nchini Tunisia

    Nov 26, 2018 23:18

    Chama cha Nidaa Tounis kimemtuhumu Waziri Mkuu wa Tunisia kuwa anafanya jitihada za kumpindua rais wa nchi hiyo, madai ambayo yamepingwa na Waziri Mkuu na kuzusha mvutano mkubwa wa kisiasa nchini humo.

  • Mwanasiasa nchini Tunisia: Mohammad Bin Salman hana nafasi ndani ya nchi yetu

    Mwanasiasa nchini Tunisia: Mohammad Bin Salman hana nafasi ndani ya nchi yetu

    Nov 25, 2018 13:25

    Mwakilishi wa Bunge nchini Tunisia amelalamikia vikali uamuzi wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia wa kuitembelea nchi hiyo na kusisitiza kwamba, Bin Salman ambaye ni muuaji mkubwa, hana nafasi ndani ya nchi hiyo.

  • Wafanyakazi wa umma waandamana wakitaka nyongeza ya mishahara Tunisia

    Wafanyakazi wa umma waandamana wakitaka nyongeza ya mishahara Tunisia

    Nov 23, 2018 04:16

    Maelfu ya watumishi wa umma nchini Tunisia jana Alkhamisi walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kushinikiza nyongeza ya mishahara.

  • Genge moja la kigaidi lasambaratishwa nchini Tunisia

    Genge moja la kigaidi lasambaratishwa nchini Tunisia

    Oct 22, 2018 23:31

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza habari ya kusambaratishwa genge moja la kigaidi magharibi mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Wawakilishi wa Nidaa Tounes waendelea kujiuzulu bungeni Tunisia

    Wawakilishi wa Nidaa Tounes waendelea kujiuzulu bungeni Tunisia

    Oct 08, 2018 09:57

    Wabunge wa chama tawala cha Nidaa Tunis nchini Tunisia wanaendelea kujiuzulu nafasi zao katika bunge la nchi hiyo.

  •  Essebsi: Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa nchini Tunisia

    Essebsi: Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa nchini Tunisia

    Sep 27, 2018 03:54

    Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amekiri kuwa hali ni nzito hivi sasa nchini humo lakini pamoja na hayo amesisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa mwaka 2019.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS