-
Marekani yapanua kisiri uwepo wake wa kijeshi Tunisia
Sep 24, 2018 22:54Ripoti mpya imefichua kuwa Marekani imekuwa ikipanua kisiri uwepo wake wa kijeshi nchini Tunisia, licha ya upinzani kusisitiza kuwa kitendo hicho ni uingiliaji wa masuala ya ndani na kukanyaga uhuru wa kujitawala nchi hiyo.
-
Wabunge 8 wa Chama cha Nidaa Tounes wajiuzulu
Sep 09, 2018 23:41Wabunge wanane wa chama cha Nidaa Tounes wamejiuzulu chamani na kujiunga na mrengo mwingine wa kisiasa.
-
Al Nahdha yapinga mpango wa Rais wa Tunisia kuhusu mirathi
Aug 27, 2018 23:01Baraza la Ushauri la Harakati ya al Nahdha ncini Tunisia limetangaza kuwa linashikamana na mfumo wa mirathi ulioainishwa katika mafundisho ya Qur'ani tukufu na Suna za Mtume Muhammad (saw).
-
Wahajiri wanne wapoteza maisha baada ya boti kuwaka moto Tunisia
Aug 19, 2018 10:48Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza habari ya kupoteza maisha wahajiri wanne baada ya boti yao kuungua moto katika fukwe za Sfax, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Tunisia yaizuia meli ya utawala haramu wa Israel isitie nanga katika bandari yake
Aug 17, 2018 23:44Harakati ya Kimataifa ya Kuususia Utawala Haramu wa Israel, imesema kuwa serikali ya Tunisia ilikataa kuiruhusu meli moja ya utawala huo katili kutia nanga katika bandari ya nchi hiyo.
-
Watunisia waandamana kulalamikia ubaguzi wa Saudia katika kutoa viza kwa ajili ya Hijja
Aug 14, 2018 10:33Raia wa Tunisia wamefanya maandamano kulalamikia siasa za kibaguzi zinazotekelezwa na Saudi Arabia katika kutoa viza kwa ajili ya kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu.
-
Watunisia waandamana kupinga mageuzi ya kijamii yaliyopendekezwa na kamati ya Rais
Aug 12, 2018 03:24Maelfu ya wananchi wa Tunisia wameandamana kupinga mageuzi ya kijamii yaliyopendekezwa na kamati iliyoundwa na rais wa nchi hiyo Beji Caid Essebsi.
-
Tunisia yakosoa uingiliaji kati wa nchi ajinabi huko Libya
Aug 08, 2018 02:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya machafuko inayoendelea kushuhudiwa nchini Libya na kusema kuwa nchi hiyo imekuwa medani ya vita vya niaba vya pande za kigeni.
-
Bunge la Tunisia lampigia kura ya kuwa na imani naye Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani
Jul 29, 2018 09:25Bunge la Tunisia limepiga kura ya kuwa na imani na Waziri mpya wa Mambo ya Ndani katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro wa kisiasa sambamba na miito ya kuitaka serikali ijiuzulu.
-
Waziri Mkuu wa Tunisia akataa kujiuzulu
Jul 25, 2018 22:35Waziri Mkuu wa Tunisia amekataa ombi la Rais wa nchi hiyo aliyemtaka ajiuzulu.