-
Wahajiri 140 waokolewa baada ya boti zao kuzama Tunisia
Oct 01, 2017 11:45Jeshi la Majini la Tunisia limefanikiwa kuokoa wahajiri wapatao 140, baada ya boti zao kuzama kusini mashariki mwa nchi.
-
Watunisia wasaini hati ya kutaka kuuzuliwa rais wa nchi hiyo
Aug 28, 2017 03:30Chama cha al Mahabba nchini Tunisia kimeanza kukusanya saini za raia wa nchi hiyo katika mchakato wa kutaka Rais Mohamed Beji Caid Essebsi atimuliwe baada ya kutoa wito unaokiuka sheria za mirathi za Kiislamu.
-
Mipaka ya Libya na Tunisia yatajwa kuwa maficho ya wanachama wa Daesh
Aug 01, 2017 22:07Mipaka ya Libya na Tunisia imetajwa kuwa maficho ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Rais Bashar al-Assad: Uelewa wa mataifa ya Kiarabu ni sababu ya umoja
Aug 01, 2017 08:35Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, raia wa mataifa ya Kiarabu wamethibitisha kuwa, wana kiwango cha hali ya juu cha uelewa kuhusu matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba suala hilo linatakiwa liwe kivutio kwa ajili ya umoja wa mataifa yote.
-
Tunisia: Hatukuwahi kukata mahusiano yetu na taifa la Syria
Jul 31, 2017 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema kuwa, hakuna wakati ambapo mahusiano ya nchi yake na Syria yalikatika.
-
Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao
Jul 20, 2017 23:03Watunisia wamefanya maandamano mjini Tunis kupinga maonyesho ya vichekesho ya Michel Boujenah Mzayuni mwenye uraia wa nchi mbili za Ufaransa na Tunisia nchini mwao.
-
Zarif: Hakuna kizuizi cha kuimarisha uhusiano wa Iran na Tunisia
Jun 20, 2017 03:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna kitu kinachoweza kuzuia au kukwamisha kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Iran na Tunisia.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran barani Afrika
Jun 17, 2017 23:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo (Jumapili) anaanza ziara ya kuzitembelea nchi za Algeria, Mauritania na Tunisia.
-
Mwanasiasa Tunisia: Mzingiro wa Waarabu dhidi ya Qatar ni ishara ya kufeli Arab League
Jun 16, 2017 10:55Nizar Ayyad mjumbe wa ngazi ya juu wa chama cha Nida nchini Tunisia amesema kuwa, kitendo cha kuzingirwa na kuwekewa vikwazo taifa la Qatar, ni ishara ya wazi ya kushindwa vibaya Saudia, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Watu 78 wamejeruhiwa katika ghasia za kikabila kusini mwa Tunisia
Jun 10, 2017 23:56Gavana wa eneo la Qibli kusini mwa Tunisia ametangaza kuwa watu 78 wamejeruhiwa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea jana katika eneo hilo.