-
Kesi ya watuhumiwa 26 wa ugaidi yasikilizwa nchini Tunisia
May 27, 2017 02:15Mahakama moja nchini Tunisia imesikiliza kesi ya watuhumiwa 26 wa mashambulizi ya kigaidi yaliyowalenga watalii nchini humo.
-
Jeshi la Tunisia lafyatua risasi angani kuwatawanya waandamanaji
May 20, 2017 23:02Jeshi la Tunisia limefyatua risasi angani kuwatawanay waandamanaji waliokuwa wanajribu kuzuia uchimbaji gesi katika mkoa wa Tatatouine kusini mwa nchi hiyo.
-
Wananchi waandamana Tunisia kupinga msahama kwa mafisadi
May 14, 2017 03:02Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis kupinga muswada ambao ukipasishwa na kuwa sheria, maafisa wa serikali wanaopatikana na hatia ya ufisadi watafutiwa makosa mkabala wa kurejesha mali walizopora kwa dola.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tunisia: Magaidi 3000 wa Kitunisia wako nje ya nchi
Apr 22, 2017 02:36Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia amesema kuwa, magaidi 3000 za Kitunisia wako katika nchi za Syria, Libya na maeneo mengine duniani.
-
Jeshi la Tunisia latumia mizinga kushambulia maficho ya magaidi
Apr 19, 2017 11:25Kikosi cha mizinga cha jeshi la wananchi wa Tunisia kimeshambulia maficho ya magaidi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Ufaransa katika jitihada za kupanua mahusiano yake na Tunisia
Apr 09, 2017 23:09Katika safari yake katika nchi za kaskazini mwa Afrika, Waziri Mkuu wa Ufaransa amejadili njia za kuanzisha na kuongeza ushirikiano katika uga wa kiuchumi na kuchunguza masuala mbalimbali ikiwemo migogoro ya kieneo.
-
Malengo ya safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa barani Afrika
Apr 06, 2017 06:32Waziri Mkuu wa Ufaransa Bernard Cazeneuve ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika ambayo imetajwa kuwa lengo lake ni kuimarisha uchumi na mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Hamma Hammami: Rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kumuondoa Rais Assad
Apr 05, 2017 09:40Msemaji wa Harakati ya Wananchi 'The Popular Front' ya nchini Tunisia amesema kuwa, Moncef Marzouki rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria.
-
Rais wa Tunisia: Iran ndiyo tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel
Mar 31, 2017 23:57Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amesema kuwa Iran ndio tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel.
-
Jumatatu, 20 Machi, 2017
Mar 19, 2017 23:33Leo ni Jumatatu tarehe 21 Jamadithani 1438 Hijria sawa na 20 Machi, 2017