Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Kula kiapo baraza la pili la mawaziri la Tunisia katika kipindi cha miezi 18

    Kula kiapo baraza la pili la mawaziri la Tunisia katika kipindi cha miezi 18

    Aug 29, 2016 23:31

    Waziri Mkuu mpya wa Tunisia Yusuf Shahid, pamoja na mawaziri wa serikali yake ya umoja wa kitaifa wamekula kiapo katika hafla iliyofanyika kwenye Ikulu ya rais wa nchi hiyo ya Qartaj.

  • Kushadidi mivutano ya kisiasa nchini Tunisia

    Kushadidi mivutano ya kisiasa nchini Tunisia

    Aug 03, 2016 02:19

    Sambamba na bunge la Tunisia kukataa kumpa ridhaa Waziri Mkuu Habib Essid ya kuendelea kushika wadhifa huo mivutano ya kisiasa imeshtadi nchini humo.

  • Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu

    Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu

    Jul 31, 2016 03:12

    Bunge la Tunisia limepitisha kwa wingi mkubwa, kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Habib Essid.

  • Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari

    Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari

    Jun 20, 2016 23:17

    Muda wa hali ya hatari nchini Tunisia unamalizika leo Jumanne. Jana Jumatatu Rais wa Tunisia alitangaza kuongeza muda wa hali hiyo ya hatari kwa mwezi mmoja zaidi.

  • Mashauriano ya viongozi wa Tunisia kuhusu uundaji wa serikali ya umoja wa kitaifa

    Mashauriano ya viongozi wa Tunisia kuhusu uundaji wa serikali ya umoja wa kitaifa

    Jun 07, 2016 08:06

    Waziri Mkuu na Rais wa Tunisia jana walikutana na kujadili namna ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo kufuatia Rais wa nchi hiyo kulizungumzia suala hilo wiki iliyopita.

  • Tunisia yatenga dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Tunisia yatenga dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    May 20, 2016 02:32

    Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ametangaza habari ya kutenga serikali yake dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi.

  • Kundi la kigaidi lenye uhusiano na Daesh laangamizwa Tunisia

    Kundi la kigaidi lenye uhusiano na Daesh laangamizwa Tunisia

    Apr 12, 2016 23:48

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imesema kuwa imelikamata kundi moja la kigaidi katika mkoa wa Bizerte kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Tunisia: Tumejiweka imara kukabiliana na ugaidi wa kitakfiri

    Tunisia: Tumejiweka imara kukabiliana na ugaidi wa kitakfiri

    Mar 24, 2016 23:16

    Serikali ya Tunisia imetangaza kuchukua hatua maalumu kwa ajili ya kukabiliana na wimbi la magaidi wa kitakfiri nchini humo.

  • Kikao cha nchi jirani na Libya huko Tunisia

    Kikao cha nchi jirani na Libya huko Tunisia

    Mar 21, 2016 11:44

    Kikao cha nchi jirani na Libya kimefanyika huko Tunisia. Kanali ya televisheni ya al Aalam imeripoti kuwa kikao cha nchi jirani na Libya kimefanyika leo katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia.

  • Genge lenye mfungamano na Daesh laangamizwa Tunisia

    Genge lenye mfungamano na Daesh laangamizwa Tunisia

    Mar 16, 2016 03:52

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa imegundua na kuliangamiza genge moja lenye mfungamano na kundi la kigaidi ma kitakfiri la Daesh katika eneo la Zaafaran katikati mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS