Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ubelgiji

  • Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Jul 26, 2020 06:32

    Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.

  • Kubadilishwa rasmi matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kuwa msikiti

    Kubadilishwa rasmi matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kuwa msikiti

    Jul 12, 2020 07:59

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametoa amri ya kubadilisha matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kulifanya msikiti.

  • Ubelgiji yaendelea kushuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu

    Ubelgiji yaendelea kushuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu

    Jul 11, 2020 11:33

    Kwa siku kadhaa sasa, mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels umeshuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya uvaaji hijabu na mitandio ya kichwani katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu za nchi hiyo ya Ulaya.

  • Ugiriki yapinga hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi nchini Libya

    Ugiriki yapinga hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi nchini Libya

    Jul 02, 2020 06:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ugiriki amezitaja hatua za kijeshi za Uturuki huko Libya kuwa ni uvamizi na kusisitiza kuwa Athens inapinga hatua hizo.

  • Mfalme wa Ubelgiji aiangukia miguuni DRC, aiomba radhi kwa ukoloni

    Mfalme wa Ubelgiji aiangukia miguuni DRC, aiomba radhi kwa ukoloni

    Jun 30, 2020 11:10

    Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameiomba radhi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na jinai ambazo nchi hiyo ya Ulaya iliwafanyia Wakongomani kwa muda wa miaka 75 katika kipindi cha ukoloni.

  • Waislamu wa Ugiriki walalamikia amri ya serikali ya kufungwa msikiti mkongwe karibu na Athens

    Waislamu wa Ugiriki walalamikia amri ya serikali ya kufungwa msikiti mkongwe karibu na Athens

    Jun 25, 2020 11:40

    Jumuiya ya Waislamu nchini Ugiriki imekosoa vikali agizo la serikali ya nchi hiyo la kufungwa msikiti mkongwe zaidi uliopo jirani na mji mkuu Athens.

  • Ugiriki: Tumejiweka tayari kupambana kijeshi na Uturuki

    Ugiriki: Tumejiweka tayari kupambana kijeshi na Uturuki

    Jun 05, 2020 17:09

    Waziri wa Ulinzi wa Ugiriki amesema kuwa nchi yake imejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana kijeshi na Uturuki kwa ajili ya kulinda haki yake ya kujitawala.

  • Wagiriki waandamana kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Wagiriki waandamana kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Jun 03, 2020 07:36

    Mamia ya watu nchini Ugiriki wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Athens, wakilaani mauaji ya George Floyd yaliyofanywa na polisi mzungu wa nchi hiyo.

  • Rais Tayyip Erdoğan: Misikiti yote mjini Athens, Ugiriki, imeharibiwa

    Rais Tayyip Erdoğan: Misikiti yote mjini Athens, Ugiriki, imeharibiwa

    Jun 02, 2020 08:05

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa misikiti yote mjini Athens, mji mkuu wa Ugiriki, imeharibiwa kwa amri ya viongozi wa nchi hiyo.

  • Mzozo mpya katika uhusiano wa Uturuki na Ugiriki

    Mzozo mpya katika uhusiano wa Uturuki na Ugiriki

    Apr 06, 2020 02:31

    Harakati mpya za viongozi wa Ankara na Athens, kwa mara nyingine zimechochea mizozo kati ya Uturuki na Ugiriki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS