Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Jumamosi, Disemba 24, 2016

    Jumamosi, Disemba 24, 2016

    Dec 23, 2016 23:44

    Leo ni Jumamosi tarehe 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 mwafaka na tarehe 24 Desemba 2016 Miladia.

  • Mahakama ya Ufaransa yapasisha miaka 25 jela dhidi ya Simbikangwa

    Mahakama ya Ufaransa yapasisha miaka 25 jela dhidi ya Simbikangwa

    Dec 04, 2016 03:58

    Mahakama moja nchini Ufaransa imepasisha kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya mkuu wa zamani wa usalama wa taifa wa Rwanda baada ya kumpata na hatia ya kufanya mauaji ya kimbari mwaka 1994 nchini humo.

  • Rwanda kuchunguza kuhusika Wafaransa katika mauaji ya kimbari

    Rwanda kuchunguza kuhusika Wafaransa katika mauaji ya kimbari

    Nov 30, 2016 04:08

    Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Rwanda imeanzisha uchunguzi wa jinai kuhusu kuhusika raia 20 wa Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi

  • Nchi za jumuiya ya Francophone zasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi

    Nchi za jumuiya ya Francophone zasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi

    Nov 29, 2016 10:20

    Washiriki katika mkutano wa kimataifa wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone) wametilia mkazo udharura wa kupambana na ugaidi na kuanzisha ulimwengu wenye amani na usalama.

  • Kivuli cha migogoro ya kisiasa katika kikao cha kimataifa cha nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa

    Kivuli cha migogoro ya kisiasa katika kikao cha kimataifa cha nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa

    Nov 26, 2016 10:09

    Kikao cha Kimataifa cha 16 cha Nchi Zinazozungumza lugha ya Kifaransa kinafanyika huko Madagascar lengo likiwa ni kuchunguza migogoro ya kisiasa ya nchi hizo. Marais wa nchi au Mawaziri Wakuu zaidi ya 30 kutoka nchi 80 zinazozungumza lugha ya Kifaransa wanashiriki katika kikao hicho.

  • Ufaransa kushirikiana na nchi za Afrika katika mapambano dhidi ya ugaidi

    Ufaransa kushirikiana na nchi za Afrika katika mapambano dhidi ya ugaidi

    Nov 23, 2016 00:48

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema nchi yake itapanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika kupambana na ugaidi.

  • Iran na Ufaransa zasisitiza umuhimu wa kutekelezwa JCPOA

    Iran na Ufaransa zasisitiza umuhimu wa kutekelezwa JCPOA

    Nov 19, 2016 04:35

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa zimesisitizia umuhimu wa kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya Vienna, yaliyosainiwa kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1.

  • Vikosi vya radiamali ya haraka vya Ufaransa kubaki CAR

    Vikosi vya radiamali ya haraka vya Ufaransa kubaki CAR

    Oct 27, 2016 10:52

    Ufaransa imesema kuwa wanajeshi wake wa radiamali ya haraka wataendelea kubakia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Jumanne, Oktoba 25, 2016

    Jumanne, Oktoba 25, 2016

    Oct 24, 2016 23:19

    Leo ni Jumanne tarehe 23 Muharram 1438 hijria sawa na Oktoba 25, 2016.

  • Ufaransa yasisitiza udharura wa kuendelea kuwepo jeshi la nchi hiyo huko Mali

    Ufaransa yasisitiza udharura wa kuendelea kuwepo jeshi la nchi hiyo huko Mali

    Oct 21, 2016 03:31

    Waziri Mkuu wa Ufaransa amesisitiza ulazima wa kuendelea kuwepo wanajeshi wa nchi hiyo huko Mali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS