-
Wanajeshi 70 wa Benin wauawa katika shambulio la kigaidi
Apr 20, 2025 12:56Kundi la kigaidi la Jama’at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM) lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limetangaza kuwa wapiganaji wake wameua wanajeshi 70 katika mashambulizi dhidi ya vituo viwili vya kijeshi kaskazini mwa Benin.
-
Kadhaa wauawa katika shambulizi la kigaidi kaskazini mwa Msumbiji
Apr 10, 2025 02:54Watu wasiopungua watano wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa vibaya katika shambulio la kigaidi katika jimbo la Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji.
-
Makumi ya wapiganaji wa ISIS wauawa katika mapigano na vikosi vya Puntland, Somalia
Feb 13, 2025 06:50Makumi ya wanamgambo wa ISIS wameuawa katika makabiliano makali na vikosi vya usalama katika eneo linalojitawala la Puntland huko Somalia jana Jumatano, huku vikosi vya usalama vikipata hasara katika mapigano hayo yaliyoanza Jumanne iliyopita.
-
Nchi za Magharibi zina nafasi gani katika kuongezeka ugaidi Afrika?
Jan 23, 2025 02:48Kuongezeka kwa shughuli za kigaidi katika maeneo mbalimbali ya Afrika kumegeuka kuwa tatizo kubwa katika bara hilo na pia katika mataifa mengi duniani. Hivi sasa, makundi kadhaa ya kigaidi yanaendesha shughuli zao katika maeneo tofauti ya Afrika.
-
Onyo kuhusu athari za kiusalama za mpasuko wa anga ya kisiasa ya Marekani
Jan 07, 2025 02:40Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani NBC imeandika katika ripoti yake kuhusu suala la kushamiri itikadi kali katika anga ya mtandaoni, ikionya kuhusu madhara ya usalama ya mpasuko wa nga ya kisiasa ya Marekani.
-
Gharib Abadi: Iran ni mhanga na iko mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugaidi
Jan 01, 2025 12:40Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisheria na kimataifa amesema kuwa ugaidi ni tatizo linalotishia amani na utulivu wa jamii na kwamba Iran ni mhanga wa uovu huu, na daima iko mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo
Dec 02, 2024 07:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
-
Kanani: Kuwekewa vikwazo ndege za Iran ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi
Sep 11, 2024 07:07Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.
-
Iran: Uingereza inaendeleza siasa za kindumilakuwili kuhusu ugaidi
Aug 31, 2024 04:16Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umeilaumu Uingereza kwa siasa zake za nyuso mbili kuhusu ugaidi na kusema kuwa, wakati wananchi wa Iran wanapouawa kigaidi, kwa mujibu wa serikali ya London, ugaidi huo unavumilika, na hauwezi kuchukuliwa msimamo kama wa ugaidi unaofanyika maeneo mengine.
-
Gharibabadi: Nchi za Magharibi ziache sera za kinafiki na ubaguzi kuhusiana na ugaidi
Apr 18, 2024 13:35Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Kibinadamu la Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi kwa ujumla zinapaswa kuachana na siasa zao za kindumakuwili na ubaguzi kuhusiana na ugaidi.