-
Jaberi Ansari: Madai ya Marekani dhidi ya Iran hayana itibari
Jun 06, 2016 09:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitaja ripoti iliyotolewa na Marekani ambayo imeiweka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika orodha ya nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi kuwa isiyo na itibari.
-
Sisitizo la kuendeshwa mapambano ya pande zote dhidi ya ugaidi barani Afrika
Jun 05, 2016 06:28Rais wa Senegal amezitolea mwito serikali mbalimbali kushirikiana na kukusanya nguvu na nyezo zote ili kupambana na makundi yenye misimamo ya kufurutu ada.
-
'Marekani ni muungaji mkono mkuu wa ugaidi Mashariki ya Kati na Dunia'
Jun 05, 2016 02:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani ndio muungaji mkono mkubwa zaidi wa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya kigaidi duniani.
-
Rais Rouhani ataka waungaji mkono magaidi duniani watajwe
May 28, 2016 23:21Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa mwito wa kufanyika jitihada za pamoja za kupambana na ugaidi kote duniani huku akisisitiza kuwa wanaotoa uungaji mkono wa siri kwa magaidi wanapaswa kutajwa ili kusitisha misaada yao kwa magaidi hao.
-
Kodivaa yamkamata mshukiwa wa ulipuaji bomu hoteli ya Grand Bassam
May 27, 2016 03:24Wakuu wa Kodivaa wamesema wamemkamata mtu anayeshukiwa kusafirisha silaha zilizotumika katika hujuma ya kigaidi ilyopelekea watu 19 kuuawa katika hoteli moja ya kifahari ya Grand Bassam nchini humo.
-
Afrika Kusini yalaani mashambulizi ya kigaidi nchini Syria
May 25, 2016 09:10Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni nchini Syria.
-
Mbunge wa Kuwait kuishtaki Saudia kwa kuendeleza ugaidi Mashariki ya Kati
May 22, 2016 11:57Mbunge mmoja wa Kuwait amebuni muungano utakaowaleta pamoja wanasheria wa kimataifa na watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kuishtaki serikali ya Saudi Arabia kwa kuendeleza na kuunga mkono harakati za kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla.
-
Tunisia yatenga dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi
May 20, 2016 02:32Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ametangaza habari ya kutenga serikali yake dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Sheikhul Azhar, Uislamu hauchochei ugaidi
May 19, 2016 23:37Mufti wa al Azhar, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.
-
Khalifa Haftar: Ulaya haiupi uzito utulivu na usalama nchini Libya
May 18, 2016 22:21Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Libya amesema, ana wasiwasi na siasa za nchi za Ulaya kuhusiana na Libya na inaonekana kuwa nchi hizo hazilipi uzito suala la usalama wa nchi hiyo.