-
Mapigano yasababisha mamia ya raia wa Kongo DR wakimbilie Uganda
Jan 02, 2020 10:41Mamia ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchini Uganda ndani ya mwezi mmoja uliopita kutokana na kushtadi mapigano ya kikabila nchini kwao.
-
Uganda yapongezwa na WHO kwa kukazania afya ya jamii + Sauti
Dec 27, 2019 12:15Serikali ya Uganda imepongezwa kwa kusimamia na kukazania vyema afya katika jamii kuanzia mashinani. Pongezi hizo zimetolewa na Shirika la Afya Duniani, WHO. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala…
-
Mazungumzo ya Uganda na Rwanda yagonga mwamba
Dec 14, 2019 04:38Mkutano wa wajumbe wa Rwanda na Uganda uliofanyika jana Ijumaa jijini Kampala haujakuwa na tija.
-
Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko Burundi yafika 43, Uganda 22
Dec 08, 2019 08:40Idadi ya watu walipoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi kadhaa za Afrika Mashariki imeongezeka.
-
Tume ya Uchaguzi Uganda yakumbwa na kashfa nyingine mpya + Sauti
Dec 02, 2019 13:29Baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Uganda kufunguliwa mashtaka ya makosa ya kukaa ofisini kinyume cha sheria, tume hiyo sasa imekumbwa na kashfa nyingine ya kisiasa... Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
-
Rwanda: Tunafuatilia kadhia ya kukamatwa mamia ya raia wetu Uganda
Nov 26, 2019 11:25Balozi wa Rwanda jijini Kampala amesema wanafuatilia kwa karibu habari ya kukamatwa mamia ya Wanyarwanda na maafisa usalama wa Uganda, katika mji wa Kisoro, magharibi mwa Uganda.
-
Zaidi ya familia 50 zahamishwa katika mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na mafuriko + Sauti
Nov 25, 2019 12:10Familia zaidi ya 50 zimehamishwa kutoka kwenye mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na kuhofia maafa yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazonyesha mfululizo. Kigozi Ismail na ripoti zaidi kutoka Kampala.
-
SAUTI, Wafanyabiashara wa Uganda: Rwanda bado haijatufungulia kikamilifu mpaka wake
Nov 19, 2019 12:33Wafanyabiashara wa Uganda wameendelea kulalamikia hatua ya serikali ya Rwanda ya kutofungua kikamilifu mipaka yake.
-
Waganda 800 wasaini waraka wa kutaka kufikishwa ICC Rais Museveni
Nov 13, 2019 23:13Zaidi ya wananchi 800 wa Uganda wamesaini waraka wa kushinikiza kufikishwa katika Mahakama ya Kimataia ya Jinai ICC, Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo.
-
SAUTI, Wakimbizi wa Kongo DR wanaoishi Uganda, waahidi kurejea makwao iwapo usalama utarejea mashariki mwa Kongo
Nov 11, 2019 13:04Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameahidi kurejea makwao iwapo maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo yatarejea katika hali ya utulivu.