-
Kesi ya pili ya Ebola nchini Uganda huku 2,000 wakipoteza maisha DRC
Aug 30, 2019 03:30Wizara ya afya ya Uganda imetangaza kesi ya pili ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola katika eneo la Kasese, kilomita 472 kutoka mji mkuu wa Kampala, baada ya mgonjwa mmoja wa Ebola kuingia nchini humo kutoka nchi jirani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza mapatano ya Uganda na Rwanda
Aug 23, 2019 22:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekaribisha kusainiwa makubaliano ya maelewano baina ya marais wa Uganda na Rwanda, yanayolenga kurejesha uhusiano wa pande mbili katika hali ya kawaida.
-
Uganda yaanza jaribio kubwa zaidi la utoaji chanjo ya Ebola
Aug 06, 2019 09:20Uganda imeanza jaribio kubwa zaidi la utoaji wa chanjo dhidi ya homa hatari ya Ebola kufuatia kuwepo wasiwasi wa kuenea pakubwa maambukizo ya ugonjwa huo kutokea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 12 wauawa katika mashambulio ya wanamgambo wa ADF huko DRC
Jul 23, 2019 10:00Watu 12 wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwemo watoto wawili kufuatia mashambulio ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la ADF la Uganda.
-
Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wao wa kiutamaduni
Jul 06, 2019 21:50Waziri wa Jinsia na Utamaduni wa Uganda amesema nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina hamu ya kuimarisha uhusiano wake wa kiutamaduni na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ebola yaua katika kesi ya kwanza ya ugonjwa huo nchini Uganda
Jun 12, 2019 08:28Kijana aliyekuwa na umri wa miaka mitano ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, hii ikiwa ni kesi ya kwanza ya maradhi hayo hatari kuthibitishwa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Waislamu Uganda kuendelea kushinikiza mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo
Jun 06, 2019 01:48Viongozi wa Kiislamu nchini Uganda wamesisitiza kuwa wataendelea kushinikiza utekelezwaji wa mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo.
-
Waislamu walaumiwa kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao + Sauti
May 27, 2019 11:55Waislamu wa zama hizi wamelaumiwa kwa kumalizana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao halisi. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa kamili.
-
Ripoti: Watu milioni 10 Afrika Mashariki wanavuta bangi, Tanzania yaongoza
May 25, 2019 05:54Utafiti mpya umefichua kuwa, takriban watu milioni 10 katika kanda ya Afrika Mashariki wanavuta bangi kinyume cha sheria, huku Tanzania ikishika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo.
-
Uganda yaongeza tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola + Sauti
May 13, 2019 13:27Nchini Uganda hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola usiingie nchini humo kutokea nchi jirani ya DRC hasa kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumiminika nchini Uganda. Mwandishi wa Radio Tehran ana ripoti zaidi kutoka Kampala.