-
Uganda yakadhibisha kutuma wanajeshi wake huko Kenya
Aug 14, 2017 22:01Serikali ya Uganda imekadhibisha madai kuwa ina nia ya kutuma wanajeshi wake huko Kenya ili kusaidia polisi wa nchi hiyo katika oparesheni za kulinda usalama baada ya kumalizika uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Dakta Larijani: Kuna fursa nyingi za kushirikiana Iran na Uganda
Aug 04, 2017 10:36Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Iran na Uganda zina vyanzo vingi vya utajiri na kwamba, kuna fursa nyingi za kushirikiana Tehran na Kampala.
-
Askari 12 wa Uganda wauawa nchini Somalia
Jul 31, 2017 11:05Jeshi la Uganda limetangaza kuwa, askari 12 wa nchi hiyo wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al Shabab kusini mwa Somalia.
-
Iran na Uganda zasisitiza kukuza zaidi ushirikiano baina yao
Jul 30, 2017 03:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda zimesisitiza juu ya kustawisha zaidi ushirikiano baina yao katika nyanja mbalimbali.
-
Uganda kutuma wanajeshi elfu mbili Somalia kukabiliana na al Shabab
Jul 15, 2017 23:45Serikali ya Uganda imesema kuwa imetuma wanajeshi wake elfu mbili huko Somalia ili kuendesha mapambano dhidi ya wanamgambo wa al Shabab wenye makao yao nchini Somalia.
-
Rais Kenyatta asema kisiwa cha Migingo ni milki ya Kenya, Uganda bado inadai inakimiliki
Jul 12, 2017 10:28Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kisiwa cha Migingo katika Ziwa Viktoria ni milki ya Kenya.
-
Uongozi mbaya, sababu ya mgogoro wa wawakimbizi barani Afrika
Jun 24, 2017 02:43Viongozi wa nchi za Afrika wamesema kuwa, uongozi mbaya wa watawala wa bara hilo ndio unaoitishwa Afrika mgogoro wa wakimbizi.
-
CAR kukumbwa na mgogoro wa kiuchumi kwa kuondoka wanajeshi wa Uganda
May 24, 2017 23:57Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati litakumbwa na mgogoro wa kiuchumi baada ya wanajeshi wa Uganda kuondoka katika eneo hilo. Wanajeshi hao wa UPDF walikuwa wametumwa nchini humo kupambana na waasi wa Kikristo wa LRA.
-
EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi
May 21, 2017 23:54Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.
-
AU yataka msaada wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikristo wa LRA
May 20, 2017 23:03Umoja wa Afrika umetoa wito wa msaada wa kijeshi wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikrsito wa LRA kutoka Uganda walio katika misitu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiongozwa na Joseph Kony.