Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Mgomo na maandamano ya wanafunzi nchini Uganda vyasimamisha masomo

    Mgomo na maandamano ya wanafunzi nchini Uganda vyasimamisha masomo

    Nov 08, 2016 12:12

    Maandamano na mgomo wa wanafunzi nchini Uganda vimesababisha shughuli za masomo kusimama nchini humo.

  • Rais Museveni aiunga mkono Afrika Kusini kujiondoa ICC

    Rais Museveni aiunga mkono Afrika Kusini kujiondoa ICC

    Oct 25, 2016 04:20

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepongeza hatua ya Afrika Kusini kuanzisha mchakato wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

  • Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Mubaje: Wabunge wasihalalishe sheria za Kimagharibi

    Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Mubaje: Wabunge wasihalalishe sheria za Kimagharibi

    Sep 12, 2016 12:50

    Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Mubaje amewataka wabunge wa nchi hiyo kutofuata nyayo za wamagharibi.

  • Mwito wa Umoja wa Mataifa wa kutolewa misaada zaidi ya kimataifa kwa wakimbizi Afrika

    Mwito wa Umoja wa Mataifa wa kutolewa misaada zaidi ya kimataifa kwa wakimbizi Afrika

    Aug 31, 2016 03:28

    Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kusaidia kutatua mgogoro wa wakimbizi unaotokana na vita vya ndani nchini Sudan Kusini kwa uzito ule ule ambao wanakabiliana na wimbi la wakimbizi katika nchi za Ulaya.

  • Raia 70,000 wa Sudan Kusini wakimbilia Uganda

    Raia 70,000 wa Sudan Kusini wakimbilia Uganda

    Aug 13, 2016 03:25

    Idadi ya wananchi wa Sudan Kusini waliokimbilia nchini Uganda imepindukia watu 70,000.

  • Besigye amtaka Mkuu wa Polisi Uganda ajiuzulu

    Besigye amtaka Mkuu wa Polisi Uganda ajiuzulu

    Aug 11, 2016 10:00

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amemtaka Mkuu wa Polisi nchini humo ajiuzulu mara moja, kufuatia kesi ya jinai inayomkabili.

  • Uganda yaahidi kuisaidia DRC kupambana na waasi wa ADF

    Uganda yaahidi kuisaidia DRC kupambana na waasi wa ADF

    Aug 05, 2016 00:22

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameahidi kuwa serikali yake itaisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kukabiliana na kundi la waasi la ADF-Nalu ambalo limekuwa tishio la muda mrefu la nchi mbili hizo jirani.

  • Askari wa Uganda wapandishwa kizimbani nchini Somalia

    Askari wa Uganda wapandishwa kizimbani nchini Somalia

    Aug 03, 2016 09:34

    Duru za habari zimeripoti kuwa, askari kadhaa wa Uganda wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya kijeshi ya Uganda nchini Somalia.

  • Waasi wa Uganda washambulia Beni mashariki mwa Kongo, waua watu kadhaa

    Waasi wa Uganda washambulia Beni mashariki mwa Kongo, waua watu kadhaa

    Jul 31, 2016 11:48

    Waasi wa Uganda wameshambulia eneo la Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua watu kadhaa na kuwajeruhi wengine.

  • Waislamu wa Uganda wamtaka Museveni aunde Wizara ya Masuala ya Waislamu

    Waislamu wa Uganda wamtaka Museveni aunde Wizara ya Masuala ya Waislamu

    Jul 29, 2016 03:39

    Waislamu nchini Uganda wameitaka serikali ya Rais Yoweri Kaguta Museveni wa nchi hiyo iunde wizara maalumu ya kushughulikia masuala ya Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS