-
Jumatano tarehe 15 Disemba 2021
Dec 15, 2021 02:28Leo ni Jumatano tarehe 10 Jamadil Awwal 1443 Hijria sawa na Disemba 15 mwaka 2021.
-
Jumanne tarehe 12 Oktoba 2021
Oct 12, 2021 17:02Leo ni Jumanne tarehe 5 Mfungua Sita Rabiul Awwal 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Oktoba 2021.
-
Chuki dhidi ya Uislamu: Msikiti mwingine wavunjiwa heshima nchini Uhispania
Jul 08, 2021 08:18Msikiti mmoja umevunjiwa heshima nchini Uhispania ikiwa ni muendelezo wa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
-
Bunge la Kiarabu laiunga mkono Morocco katika hitilafu zake na Uhispania
Jun 28, 2021 02:32Bunge za Nchi za Kiarabu limetangaza katika taarifa yake kuwa linaiunga mkono Morocco kuhusu hitilafu zilizojitokeza kati ya nchi hiyo na Uhispania.
-
Ijumaa, Mei 7, 2021
May 07, 2021 02:18Leo ni Ijumaa tarehe 24 Ramadhani mwaka 1442 Hijria sawa na tarehe 7 Mei mwaka 2021
-
Maiti 17 za wahajiri wa Kiafrika zapatikana katika kisiwa cha Uhispania
Apr 27, 2021 12:58Miili 17 ya wahajiri wa Kiafrika imepatikana katika mji wa pwani wa El Hierro, ulioko katika moja ya visiwa vya Canary vya Uhispania.
-
Jumatatu tarehe 12 Aprili mwaka 2021
Apr 12, 2021 02:50Leo ni Jumatatu tarehe 29 Shaabani 1442 Hijria sawa na Aprili 12 mwaka 2021.
-
Baada ya kuchanjwa Pfizer, wazee 78 Uhispania waambukizwa corona, kadhaa kati yao wafariki dunia
Feb 02, 2021 08:04Wakazi wote wa nyumba moja ya matunzo kwa wazee nchini Uhispania wameambukizwa virusi vya corona baada ya kupigwa chanjo ya Pfizer na kadhaa miongoni mwao wamefariki dunia.
-
Mkuu wa majeshi Uhispania ajiuzulu kwa kudunga chanjo ya corona bila kuwemo kwenye orodha
Jan 25, 2021 12:34Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Uhispania Jenerali Miguel Angel Villaroya amejiuzulu wadhifa wake kufuatia sakata la kupatiwa chanjo ya corona wakati hayumo kwenye orodha ya watu wenye kipaumbele cha kupatiwa chanjo hiyo.
-
Muuguzi aaga dunia siku 2 baada ya kupewa chanjo ya Covid-19 Ureno
Jan 06, 2021 04:42Maafisa wa afya nchini Ureno wanachunguza kisa cha kufariki dunia ghafla muuguzi mmoja, saa 48 baada ya kupigwa chanjo ya kumkinga dhidi ya virusi vya corona.