-
Wikileaks: Saudia imeyahonga magazeti ya UK ili yasiripoti mauaji ya Khashoggi
Oct 09, 2018 03:58Mtandao wa WikiLeaks umefichua kuwa, magazeti ya Uingereza hayajaakisi habari za mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia aliyeuliwa katika ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki, kwa kuwa yamemwagiwa pesa na utawala wa Riyadh.
-
Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini
Sep 29, 2018 21:56Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza apinga kunyongwa magaidi wa ISIS
Jul 23, 2018 09:35Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema serikali yake itapinga vikali hukumu ya kuonyongwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh ambao ni raia wa nchi hiyo.
-
Ripoti: Kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu Uingereza kimevunja rekodi
Jul 22, 2018 09:38Ripoti mpya ya asasi isiyokuwa ya kiserikali imesema uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu na matukufu yao umeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Uingereza.
-
Ripoti: Uingereza inawatumia watoto kama majasusi
Jul 20, 2018 20:49Ripoti mpya ya Bunge la Uingereza imefichukua kuwa, polisi na idara za kijasusi nchini humo zinawatumia watoto wadogo katika operesheni hatarishi za kijasusi.
-
Waislamu Uingereza walalamikia chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala cha Conservative
Jun 06, 2018 23:09Zaidi ya misikiti 350 na jumuiya za Kiislamu nchini Uingereza zimetaka uchunguzi ufanyike kuhusu chuki dhidi ya Uislamu miongoni mwa wanachama wa ngazi za juu wa chama tawala cha Conservative.
-
Waingereza wahamakishwa na gharama kubwa katika harusi ya Mwanamfalme
May 20, 2018 03:45Wananchi wa Uingereza wameghadhabishwa mno na gharama kubwa za harusi ya Mwanafalme wa nchi hiyo, Harry na muigizaji wa Marekani, Meghan Markle iliyofanyika jana Jumamosi.
-
Wananchi wa Uingereza: Tutaandamana dhidi ya Trump
Apr 27, 2018 03:34Makumi ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wametangaza kuwa wapo tayari kushiriki katika maandamano dhidi ya ziara ya Rais Donald Trump wa Mareani mjini London.
-
Nyaraka za maktaba ya taifa Qatar zafichua utegemezi aliokuwa nao mwasisi wa Saudia kwa UK
Apr 19, 2018 03:13Tovuti ya maktaba ya taifa ya Qatar imeonyesha nyaraka ilizopokea kutoka maktaba ya Uingereza zinazofichua kuhusu utegemezi aliokuwa nao Abdulaziz Aal Saud, mwasisi wa utawala wa Saudi Arabia kwa dola la kikoloni la Uingereza.
-
Alkhamisi tarehe 19 Aprili, 2018
Apr 18, 2018 22:35Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Shaaban 1439 Hijria sawa na Aprili 19 mwaka 2018.