Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Jumanne 6 Septemba, 2016

    Jumanne 6 Septemba, 2016

    Sep 06, 2016 23:29

    Leo ni Jumanne tarehe 4 Dhulhija 1437 Hijria sawa 6 Septemba 2016.

  • Uingereza inauza theluthi mbili ya silaha katika eneo la Mashariki ya Kati

    Uingereza inauza theluthi mbili ya silaha katika eneo la Mashariki ya Kati

    Sep 05, 2016 22:36

    Gazeti moja la nchini Uingereza limeandika kuwa theluthi mbili ya silaha zinazoundwa nchini humo huuzwa katika nchi za eneo la Mashariki ya Kati.

  • Watoto wakimbizi 360 watoweka wakiwa Uingereza

    Watoto wakimbizi 360 watoweka wakiwa Uingereza

    Sep 04, 2016 23:54

    Mamia ya watoto wakimbizi wametoweka baada ya kuwasili Uingereza huku kukiwa na wasiwasi kuwa baadhi wanadhalilishwa kingono na wengine wakiwa katika utumwa mamboleo.

  • Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab

    Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab

    Aug 25, 2016 03:04

    Polisi ya Scotland Yard ya nchini Uingereza imepasisha vazi la staha ya mwanamke wa Kiislamu, Hijabu kama njia ya kuwavutia Waislamu kujiunga na jeshi hilo.

  • Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab

    Polisi ya Scotland, Uingereza, yapasisha vazi la Hijab

    Aug 24, 2016 23:49

    Polisi ya Scotland Yard ya nchini Uingereza imepasisha vazi la staha ya mwanamke wa Kiislamu, Hijabu kama njia ya kuwavutia Waislamu kujiunga na jeshi hilo.

  • Jumamosi, Agosti 13, 2016

    Jumamosi, Agosti 13, 2016

    Aug 12, 2016 22:10

    Leo ni Jumamosi tarehe 10 Mfunguo Pili Dhil-Qaadah mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 13 Agosti mwaka 2016 Miladia.

  • TUC: Nusu ya wanawake Uingereza wananyanyaswa kingono makazini

    TUC: Nusu ya wanawake Uingereza wananyanyaswa kingono makazini

    Aug 10, 2016 09:53

    Uchunguzi uliofanywa na shirika moja linalojulikana kwa jina la Trades Union Congress TUC kwa kifupi unaonesha kuwa, nusu ya wanawake nchini Uingereza wamekuwa wakinyanyaswa kingono katika maeneo yao ya kazi.

  • Uingereza kukabiliana na ubaguzi na jinai dhidi ya dini za walio wachache

    Uingereza kukabiliana na ubaguzi na jinai dhidi ya dini za walio wachache

    Jul 24, 2016 23:53

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa itazidisha hatua zake za kukabiliana na vitendo vya kibaguzi na chuki dhidi ya wafuasi wa dini za walio wachache.

  • Matamshi ya afisa jeshi wa Libya kuhusu kuweko nchini vikosi ajinabi

    Matamshi ya afisa jeshi wa Libya kuhusu kuweko nchini vikosi ajinabi

    Jul 23, 2016 02:32

    Kamanda wa kikosi cha anga cha jeshi la Libya amesema kuwa wanajeshi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa wapo Libya kwa ajili tu ya kudhibiti harakati za kundi la kigaidi la Daesh.

  • Uingereza yakiri kuwa Saudia inatenda jinai za kutisha Yemen

    Uingereza yakiri kuwa Saudia inatenda jinai za kutisha Yemen

    Jul 22, 2016 10:22

    Katika hatua isiyo ya kawaida na ambayo haikutarajiwa na wengi, Uingereza imekiri kuwa yumkini muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika hujuma za anga dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Yemen umekiuka sheria za kibinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS