-
Malkia wa Uingereza akosolewa kwa kushirikiana na Mfalme wa Bahrain
May 19, 2016 03:33Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yamemjia juu Malkia Elizabeth II wa Uingereza kwa kumualika Mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Al-Khalifa katika sherehe za kuadhimisha miaka 90 ya kuzaliwa kwake, licha ya kufahamu dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Manama dhidi ya wananchi.
-
Kasisi mtoro wa Uingereza aliyewanajisi watoto akamatwa Kosovo
May 15, 2016 09:24Polisi nchini Kosovo imemtia mbaroni kasisi mmoja wa Kanisa Katoliki anayedaiwa kuwanajisi watoto wadogo katika taasisi moja ya kidini nchini Uingereza na kisha kutoroka nchi.
-
Kikao cha kimataifa cha London cha kupambana na Ufisadi
May 13, 2016 12:00Kikao cha kimataifa cha kupambana na ufisadi kilimalizika jana usiku mjini London, Uingereza. Viongozi wa kisiasa na kiuchumi waliohudhuria kikao hicho wamesisitiza juu ya kuandaliwa ramani ya njia ya kivitendo kwa ajili ya kupambana na ufisadi wa fedha na ukwepaji kodi ambao unaandaa mazingira ya vitendo vya ukatili ulioratibiwa, ugaidi na misimamo ya kufurutu mpaka.
-
Nigeria yaitaka Uingereza irudishe mali za nchi hiyo zilizoibiwa
May 11, 2016 23:37Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema ameitaka Uingereza izirudishe mali za nchi hiyo zilizoibwa na baadhi ya maafisa wa serikali na kupelekwa nchini humo.
-
Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani
May 10, 2016 23:47Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Askari wa jeshi la majini la Uingereza ajiunga na Daesh
May 08, 2016 22:59Imearifiwa kuwa askari mmoja wa jeshi la majini la Uingereza ameondoka nchini na kuelekea Syria kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani
May 07, 2016 03:41Meya wa zamani wa London nchini Uingereza amesema kuanzishwa utawala haramu wa Israel ni janga kubwa la kihistroria ambalo taathira zake hasi zinaendelea kushuhudiwa.
-
Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru
Apr 21, 2016 02:19Kundi la wanaharakai wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Cameron awataka vijana wa Uingereza wasaidie nchi hiyo ibaki katika Umoja wa Ulaya
Apr 08, 2016 09:29Waziri Mkuu wa Uingereza amewaomba vijana wa nchi hiyo waunge mkono nchi hiyo kusalia katika uanachama wa Umoja wa Ulaya katika kura ya maoni iliyopangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Juni.
-
Magaidi wa Taliban waendelea kupata himaya ya nchi za Magharibi
Mar 17, 2016 04:51Balozi wa Uingereza nchini Afghanistan, Dominic Jermey amesema kuwa nchi yake inao uhusiano wa karibu na kundi la kigaidi la Taliban na kwamba ikiwa serikali ya Kabul itahitajia, basi nchi yake inaweza kuutumia uhusiano huo kwa ajili ya kurejesha usalama na amani nchini humo.