-
Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu
May 22, 2016 04:22Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza imeitisha kikao maalumu cha kujibu maswali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na Uislamu na utamaduni wa Kiislamu.
-
Sheikhul Azhar, Uislamu hauchochei ugaidi
May 20, 2016 04:07Mufti wa al Azhar, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Nguvu kwa Msingi wa Uislamu
May 19, 2016 07:08Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Jumatano alikutana na washiriki wa Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran na kusema, 'Qur'ani Tukufu ni mhimili wa Umoja wa Umma wa Kiislamu.
-
Al Azhar ya Misri yasisitiza kufanyika mazungumzo kati ya dini za mbinguni
Apr 11, 2016 13:25Sheikhul Azhar wa Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kufanyika mazungumzo kati ya dini za mbinguni kwa minajili ya kukurubisha pamoja fikra na mitazamo kati ya dini hizo.
-
Wabangali waandamana kulaani njama za kufuta Uislamu kuwa dini rasmi
Mar 26, 2016 08:12Maelfu ya wananchi wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo kukosoa kile walichokitaja kuwa njama za baadhi ya watu wanaojiita 'mashuhuri' nchini humo kutaka Uislamu usitambuliwe kuwa dini rasmi ya nchi hiyo.
-
Sheikh wa al Azhar: Shia na Suni na mbawa mbili za Uislamu
Mar 17, 2016 07:54Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema kuwa Shia na Suni ni wafuasi wa dini moja na ni mithili ya mbawa mbili za ndege mmoja
-
Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami
Mar 13, 2016 16:52Baraza la Mahusiano la Waislamu nchini Marekani limewataka wanawake wa Kiislamu nchini humo kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa, wakati huu ambapo chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zimeongezeka kwa kiasi kikubwa mno.
-
Uislamu Chaguo Langu (93)
Mar 01, 2016 12:00Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayoangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru katika maisha ya hapa duniani na kesho Akhera yaani Uislamu. Katika makala yetu ya leo tutamuangazia Mromania aliyesilumu Lucian Cojocaru. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Uislamu Chaguo Langu (94)
Mar 01, 2016 11:58Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huangazia watu ambao waliamua kufuata njia iliyojaa nuru katika maisha ya dunia na kesho akhera yaani Uislamu baada ya kufanya utafiti wa kina.
-
Uislamu Chaguo Langu (98)
Mar 01, 2016 11:53Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia iliyojaa nuru maishani yaani Uislamu. Katika makala ya leo tutamuangazia Mmarekani aliyesilimu Thomas Clayton. Karibuni.