-
Rais wa Tunisia: Msingi wa mirathi katika Uislamu ni uadilifu na insafu
Aug 17, 2020 03:08Rais Kais Saied wa Tunisia ameamsha hasira za jumuiya za wanawake za kiliberali baada ya kusisitiza kwamba msingi wa mirathi katika dini ya Uislamu ni uadilifu na insafu na kwamba suala hilo limeshapewa ufumbuzi katika aya za Qu'ani tukufu ambao hauhitajii tena tafsiri wala taawili.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (10)
May 10, 2020 09:01Assalaam Aalaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (9)
May 10, 2020 08:51Assalaam Aalaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (8)
May 10, 2020 08:49Assalaam Aalaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao
-
Afrika Kusini yaomba radhi kwa matamshi ya 'kufuru' ya polisi katika uvamizi wa msikiti
Apr 27, 2020 07:20Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini, Bheki Cele ameomba radhi kwa maneno ya "kufuru" yaliyotolewa na polisi kwa Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala wakati polisi hao alipovamia msikiti wakitekeleza marufuku ya shughuli zote katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona.
-
Mahakama ya Rufaa ya Uingereza 'yaharamisha' ndoa za Kiislamu
Feb 16, 2020 04:43Mahakama ya Rufaa ya Uingereza imebatilisha uamuzi wa miaka miwili iliyopita wa kutambua ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu (Nikah).
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (1) +SAUTI
Feb 15, 2020 05:05Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2 (Ruwaza Njema)
Nov 11, 2019 04:26Alipozaliwa alipewa jina la Muhammad lenye maana ya msifiwa. Jina hili hakuwahi kupewa kiumbe mwingine kabla yake yeye. Jina hilo, kama alivyokuwa yeye mwenyewe, liliteuliwa na Mwenyezi Mungu Muweza na lilitajwa katika vitabu vya Mitume waliotangua.
-
Wanaharakati wa Ujerumani wamkumbuka "Shahidi wa Hijabu" Marwa el Sherbini
Jul 06, 2019 22:32Wanaharakati wa Ujerumani leo Jumapili wanahitimisha warsha zilizoanza Jumatatu iliyopita za kukumbuka mauaji ya mwanamke Mwislamu, Marwa el-Sherbini aliyeuawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa ndani ya ukumbi wa mahakama ya mji wa Dresden nchini Ujerumani.
-
Larijani: Wairani wataifanya Marekani ijute
Apr 28, 2019 09:44Spika wa Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesema Wairani kwa kusimama kwao kidete watapelekea watawala wa Marekani wajute.