-
SADC: Watu milioni 68 wanasumbuliwa na ukame kusini mwa Afrika
Aug 18, 2024 07:02Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema makumi ya mamilioni ya watu wameathiriwa na ukame uliosababishwa na El Nino katika eneo la Kusini mwa Afrika, na wanahitaji msaada wa haraka wa chakula.
-
Ukame kulazimisha watu milioni 216 duniani kuyahama makazi yao
Nov 30, 2023 03:49Inakadiriwa kuwa, watu milioni 216 watalazimika kuyahama makazi yao kufikia mwaka 2050 kutoka na athari za ukame.
-
Ripoti ya kutisha ya hali ya ukame duniani mwaka 2022
Jan 01, 2023 10:22Ripoti zilizochapishwa kuhusu hali ya ukame duniani mwaka 2022 zinaonesha kuwa hali ya kutisha kuhusu ukosefu wa maji na mazao ya kilimo itaendelea katika miaka ijayo.
-
Ripoti: Eneo la Pembe ya Afrika linakabiliwa na ukame mbaya zaidi
Dec 14, 2022 07:51Imeelezwa kuwa, eneo la Pembe ya Afrika linakabiliwa na ukame mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika miongo kadhaa ya hivi karibuni.
-
Oxfam: Ukame unatishia maisha ya maelfu ya watu barani Afrika
Oct 16, 2022 03:14Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, ukame barani Afrika huenda ukaua maelfu ya watu katika siku za usoni.
-
IGAD: Malaki ya watu katika hatari ya kufa njaa Afrika Mashariki
Oct 08, 2022 11:36Mamia ya maelfu ya watu wapo katika hatari ya kufariki dunia kutokana na baa la njaa lililozikumba nchi za kanda ya Afrika Mashariki.
-
UN: Ukame unaweka watoto milioni 3.6 katika hatari ya kuacha shule katika Pembe ya Afrika
Sep 27, 2022 13:58Karibu watoto milioni nne wako katika hatari ya kuacha shule kutokana na ukame ulioliathiri eneo la Pembe ya Afrika. Hayo yamebainishwa katika taarifa ya Umoja wa Mataifa. Umoja wa Mataifa umesema kuwa suala hilo linaweza kupelekea kupotea kwa kizazi.
-
Ukame watishia kuzuka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Uhispania
Aug 14, 2022 02:28Ukame unaendelea kusini mwa nchi ya Ulaya ya Uhispania. Ukame huo umepelekea kukauka maji katika maeneo hayo, njaa na kupungua kipato cha wakazi wake ambao wanategemea sana kilimo na utalii. Ukame huo umezusha wasiwasi pia wa kutokea vita vya ndani baina ya jamii za watu mbalimbali wa nchi hiyo.
-
UN: Ukame umeathiri watu milioni 4.3 nchini Somalia
Feb 08, 2022 07:42Umoja wa Mataifa umesema Somalia inaendelea kuandamwa na ukame ambao umeathiri watu zaidi ya milioni 4.3 katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, kutoka watu milioni 3.2 iliyoripotiwa mwezi mmoja uliopita.
-
UN yatahadharisha: Madagascar inakaribia kukumbwa na njaa kutokana na ukame mkubwa
Sep 03, 2021 11:43Kisiwa cha Madagascar kinachopatikana katika Bahari ya Hindi barani Afrika kwa miaka minne sasa kimeathiriwa na ukame uliosabbaishwa na mabadiliko ya tabianchi. Watu nchini humo wanalazimika kula nzige na majani ya mwituni ili kubakia hai.